Maoni: Samatta ni mzigo Taifa Stars, aondolewe

Samatta afai kuwa Nahodha wa Stars,, apewe MTU mwenye kaliba ya uongozi uwanjani na kuwatia wachezaji wenzake hamasa.... Ili apigiwe kelele ajitume..

Yupo Kaseja, Nyoni, Yondani kwa sasa wanaweza kazi ya uongozi ndani ya uwanja..

Ila nakubali pia Sammatta ni Mzigo kwa timu huu ndio ukweli...

Ana kiwango cha kawaida mno, sema anabebwa na mafanikio yake tu....aliyobahatika kuyapata.
 
Mi nilijua niliuona upungufu wake peke yangu, niliyekuwa nimekaa naye nilimuambia Samata anacheza kibishoo.
 
Mleta mada kafanye kazi acha kubeti utaishia kurushia mawe Basi la taifa Stars [emoji93]
 
Kombinesheni ya Samatta akiwa Genk ni tofauti sana na akiwa na Stars. Ili afunge ni lazima alishwe mipira wakati ametengeneza nafasi za kufunga. Bila hilo magoli yatapatikana vipi?!!

Kwanza tujiulize,ni mipira mingapi tulipiga golini? Mingapi ilitoka nje ya goli? Kama mechi nzima tulipiga mipira mitano golini sasa hayo magoli yapatukanaje?!!!
 

Hao mbwiga wenu wakimuumiza mna kitu gani cha kumlipa ikiwa mnashindwa kulipa vitu vidogo vidogo? Pelekeni hao wazee akina Yondani wanafit sana mashindano hayo.
 
Hao mbwiga wenu wakimuumiza mna kitu gani cha kumlipa ikiwa mnashindwa kulipa vitu vidogo vidogo? Pelekeni hao wazee akina Yondani wanafit sana mashindano hayo.
Samata wanamuonea tu hata ningekuwa Mimi ningecheza kibishoo, hauoni Mane anavyocheza akiwa na timu ya taifa? Totally different compared to Liverpool...huwa wanaogopa Sana majeruhi , ukipata injured unakuwa out of the game, after missing 4 or six game na replacement yako ikifanya vyema unakosa namba kabisa na msimu unaofuata unauzwa kwenye timu ya kichovu...
Na serikali zetu hz hazina support kabisa , ukiumia unapelkwa mwananyamala kutibiwa na nesi aliyesoma miaka ya 70, hatupo vitani kwamba tukifungwa nchi inachukuliwa mateka , mpira ni luxury Kwanza vipaumbele vyetu sio mpira ni viwanda sometym lazima uchek ugali unasemaje
 
Yaani mazee umeona kama mimi
Huyu dogo ni anazingua balaa na hana msaada kabisa taifa. Wamuache abaki Genk. Ukiangalia nguvu na morali anayoweka kule tofauti kabisa na ya stars aisee
Wachezaji karibu wote wa kiafrika ndivyo walivyo.
 
Akaachie sasa namba taifa stars asiwazibie wengine kuonyesha vipaji
Point!

Waende wao kucheza mbona kazi rahisi sana..jezi zipo bwerere na njumu za kumwaga
 
Bora Shomari Kapombe kajitoa mapema tu kuchezea Taifa starts maana kuumizana tu
 
Wachezaji wengi wa kiAfrica wanaocheza ulaya hupata lawama km hz... wenye kulaumu huwa hawaangalii anacheza na nan? Je kikosi cha Genk na Stars ni sawa? Kikubwa angalia nan yupo nyuma yake?
 
Yeye mwenyewe kaomba msamaha kwamba alizingua sasa sijui ulikuwa unabisha nini
Acha kukariri mzee unaangalia mpira live score halafu unakuja kuleta stori za Genk hapa... ungelia na refa au Kessy ningekuelewa ila hapo ulipogusa le umebugi kabisa otherwise una vinyongo vyako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi, Samatta akiwa taifa anavimba sana nadhani anajiona yeye ni special sana..muangalie hata mabega anavyoyabinua kwa ufahari mpaka kaota kiduva mgongoni...Damn! We have to stand on the truth side.

Walimwengu bwana!
 
Genk anapocheza hamna walinzi,uefa kwa liverpool alifunga mbele ya mabeki gani wa liverpool,samata hana lolote timu ya taifa ni kama anakuja kufanya zoezi tu hajitumi
Kwann afunge kwani ni lazima ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…