MAONI: Serikali ihalalishe ulimaji wa bangi

MAONI: Serikali ihalalishe ulimaji wa bangi

Totozee

Senior Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
118
Reaction score
95
Mwezi huu tumeshuhudia mashamba ya bangi yakiteketezwa katika Bonde la moto Mara.

Mbali na hapo, wananchi wamelalamika mbele ya mkuu wa mkoa wakidai ya kwamba bangi Ile ndiyo iliyowasaidia ujenzi wa Shule Pamoja na Hospital.

Pia tumeshuhudia nchi nyingi zikihalalisha ulimaji wa zao hili Ili wananchi wao wajipatie kipato.

Mwenyezi Mungu ametupatia akili na utashi, ametupatia ardhi yenye rutuba Ili watu wake waifaidi.

Serikali kupitia vyombo husika ihalalishe kilimo hiki Ili wananchi wajikwamue kiuchumi na wasiangamie kwa kukosa maarifa.

download (2).jpeg
 
Back
Top Bottom