Ni kutapatapa tu. Hivi unadhani tatizo ni nini? Kutotumia maguvu kwenye kuendesha shirika? Hata kama tatizo ni kutotumia ''maguvu, jeshini unadhani hakuna wazembe? Kwa nini mnataka kutubu dalili za ugonjwa badala ya kutibu ugonjwa wenye ambao ni CCM?Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.
Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo wataweza kuwajibika na kuzuia michezo inaofanywa na Watendaji wanaohujumu uchumi wa Nchi kwa maslahi ya wachache.
Mfano ni hujuma za kuzuia maji yasijae katika mabwawa mbali mbali licha ya uwepo wa mvua nchini hoja hizi zimetolewa na baadhi ya Wabunge lakini kuna namna zinapotezewa
Hii ndiyo dawa pekee ya uhakika na waruhusiwe na kampuni zingine binafsi kuzalisha na kuuza umemeDawa ni kuibinafsisha tu wawape sekta binafsi
Another rubbish thread...
Tatizo la" Embecilaziation of a nation " linajitokeza waziwazi hapa...
Kwamba kila tatizo itumike nyundo kushughulika nalo..
na wewe ndio mwiz mwenyewe haiwezekani nasema haiwezekan wapewe tu wajeda na nchi yenyewe wapewe wajeda tumechoka kwakweriNi kutapatapa tu. Hivi unadhani tatizo ni nini? Kutotumia maguvu kwenye kuendesha shirika? Hata kama tatizo ni kutotumia ''maguvu, jeshini unadhani hakuna wazembe? Kwa nini mnataka kutubu dalili za ugonjwa badala ya kutibu ugonjwa wenye ambao ni CCM?
Kwahiyo akihoji tu anapigishwa pushup πππKweli kabisa, maana huko CAG hawezi kutia timu.
Cag anaingia vizuriKweli kabisa, maana huko CAG hawezi kutia timu.
Halafu nini kinabadilika? Si huwa anatoa tu ripoti na Hakuna hatua yoyote inachukuliwa?Cag anaingia vizuri
Bado shida itakuwepo,igawanywe sehemu tatu.1.uzalishaji.2.Usambazaji 3.huduma..Ikiwezekana 1 & 2 wawe na bajeti zao.Ila namba 3.awe chini ya uangalizi kwani ndie mkusanyaji wa pato baada ya huduma..Utaratibu uwe 1 na 2 ijumuishe hata secta binafsi na sirikali pia.Habari za leo