Maoni: Tuzo moja ndio ya kujadili, 4 Kiba zilikuwa size yake

Maoni: Tuzo moja ndio ya kujadili, 4 Kiba zilikuwa size yake

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860
Kwa maoni yangu Kiba alistahili tunzo zile,sehemu nadhani imeibua mjadala mzito ni kwenye tunzo ya mtumbuizaji bora tu.
Sasa ni vema hoja na mjadala ujikite kwenye category hiyo ili kuepusha ushabiki usiokuwa na ujenzi wa muziki wetu.
Wote tunahudhuria matamasha yanayoandaliwa hapa nchini na macho na masikio tunayo pia,Je ni kweli Kiba anafanya show kali zaidi ya Diamondi?
Kura zinaweza kuondoa kujituma kwa mtu jukwaani?
Nadhani kura zinaweza kupata nguvu zaidi kwenye category ya msanii anayependwa zaidi na sio mtumbuizaji bora
Kumbuka hata ofisini unaweza kujituma sana kuliko wengine still bado usipendwe na wenzio.Lakini boss wako akaliona hilo na kulithamini.
Maana kupendwa na kutenda ni vitu tofauti,Kwa hiyo tujadili tunzo moja tu ya mtumbuizaji bora zingine zote ni haki ya kiba
Tusifikie hatua ya kumpora kiba haki yake(Tunzo zote nne) kwa ushabiki wa kipuuzi.
 
  • Thanks
Reactions: snn
Kwani kwenye utumbuizaji

Wanazngatia nini haswa?

Na kwenye iko kipngele walikua wawili tu maana naona kila mtu tandale tandale
 
Kwani kwenye utumbuizaji

Wanazngatia nini haswa?

Na kwenye iko kipngele walikua wawili tu maana naona kila mtu tandale tandale

Kikubwa nadhani ni ubora wa msanii anapokuwa jukwaani
1Umiliki wa jukwaa
2.Pumzi
3.aina ya uchezaji n.k.
Sasa ukiyaangalia haya bila ushabiki diamondi yupo vizuri kuliko kiba
Ally Kwa vocal ni zaidi ya modi lakini ku dance live performance mondi ni zaidi ki ukweli
 
Sio moja tu, kwni mtunzi bora alistahili? Kwsababu hiyo alistahili barnaba, pia wimbo bora wa mwaka ulistahili Nani kama mama. Yaani sababu yakutaka tu kumshusha diamond ndio maana wengine wakasa haki zao. Mimi nilipiga kura tena nyingi nilikua napiga kulingana na vigezo sio ushabiki tu.
 
Endeleeni kuimba juu ya CD alafu mjidanganye kuwa mtakuwa watumbuizaji bora.
 
mondi pumzi hana ndo mana hua sauti inakoroma, kiba pumzi ipo, kwani kiba hua hachezi
 
Back
Top Bottom