Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
Sijui hata nikwambie nini, ila pole sana.
Tangu uzaliwe bomba la TAZAMA limekusaidia nini wewe kama Mtanzania? Bola hata hiyo lodge unaweza ukaenda kujihifadhi ukipata safari inahohitaji ulale Morogoro. By the way, inatoa ajira na kuchangia pato la Mtanzania. Kinachokusumbua ni roho ya kwanini Mtanzania mwenzako kajenga hoteli ya kifahari wakati wewe bado unaishi kwenye nyumba za kupanga na udaktari wako wakati umri unaenda.... Angalia madaktari wenzako wanaendesha Range. Go back to school and learn from dokta Mwaka...You must be joking, if not, you are missing something very important especially upstairs
Nyerere atangazwe MTAKATIFU harakakama kuna utawala uliongoza kibabe ni kipindi cha awamu ya kwanza
. kufuta mfumo wa vyama vingi
.kuanzisha siasa ya ujamaa
kufuta soko huria
.kuhamisha wananchi kwa nguvu bila idhini yao
.kutaifisha shule kwa nguvu
.kukataza bidhaa za nje km tv, cm, nk
wengi wamesahau!!!
nilichojifunza kutoka. kwa huyu mtaalamu wa chemistry ( sijajua kuhusu masomo mengine kama kingereza nk) naiona awamu hii ikiipiku x 2 awamu ya kwanza juu ya record on human right and free practise of democracy
Kama kuna utawala uliongoza kibabe ni kipindi cha awamu ya kwanza kufuta mfumo wa vyama vingi kuanzisha siasa ya ujamaa, kufuta soko huria
kuhamisha wananchi kwa nguvu bila idhini yao, kutaifisha shule kwa nguvu kukataza bidhaa za nje kama tv, simu, nk
Wengi wamesahau!
Nilichojifunza kutoka kwa huyu mtaalamu wa chemistry ( sijajua kuhusu masomo mengine kama kingereza nk) naiona awamu hii ikiipiku x 2 awamu ya kwanza juu ya record on human right and free practise of democracy.
Nyerere atangazwe MTAKATIFU haraka
Tulia ukamuliwe majipu maana hakuna namna!
Mimi sikatai kutumbua majipu lakini ukivunja nyumba za mabondeni wapeni viwanja sehem nyingine hio ndio human right