Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
kufufua shirika la ndenge nani aliliua?kazi ni pale unapomwambia arudishe nyumba za serikali nani aliziuza?
 
Nikajua ni ushauri wa maana ulipoanza na Muhongo tu nikajua wewe ni mchaga ulipogusia kwenye uzawa wakati mambo ya nishati ni utaalamu na nyenzo nimebaini wewe ni yuleee tuliekuzomea siku ya kuchukua cheti Magufuli
 
duh! haya yote yeye tu! ana kazi kweli
 
Nikajua ni ushauri wa maana ulipoanza na Muhongo tu nikajua wewe ni mchaga ulipogusia kwenye uzawa wakati mambo ya nishati ni utaalamu na nyenzo nimebaini wewe ni yuleee tuliekuzomea siku ya kuchukua cheti Magufuli

Ukiwa mchaga naona ni nuksi, ila usisahau hao wachaga ndio wanaobeba uchumi wa nchi
 
sura mpya zinahitajika, zisizo na uogaa kabisaa

Sasa waziri alichemsha wakati wa mkwere kipindi hichi atakua na jipya gani. Ila sishagai ccm ni ile ile siku zote hata waziri mkuu nategemea atokee kwenye wabunge ambao hawakua waziri bunge lililopita.
 
Serikali si hao tu, kuna watu kule Hazina, TRA, nishati na madini n.k. ambao ndio shida. Unataka afanyeje nako?
 
Naunga mkono hoja. Tatizo CCM ni ileile. Utashangaa Dialo, Nape, Ritz na wabovu wengi tu wa aina hii wapo katika Baraza la Mawazirila Ngosha. Lazima alipe fadhila.
 
Serikali si hao tu, kuna watu kule Hazina, TRA, nishati na madini n.k. ambao ndio shida. Unataka afanyeje nako?

Waziri akiwa wima, watendaji watanyooka tu, tatizo waziri akiwa zoba basi na watendaji wanafanya wanavyotakaa
 
Mbona umekasahau ka January Makamba? Kapo laIma akaweke kwenye baraza lake la mawaziri
 
Prof Muhongo yule anafaa sana , andiko lako naliona kama linampigia debe January Makamba , mtu asiye na uwezo wowote na hao uliowataja n threat kwake , kumbuka huyu n Magufuli sio Kikwete hana ushikaji
 
Imekuwa kawaida kila serikali ikiingia madarakani au wizara kupata waziri mpya, lazima wanunue magari mapya ya mawaziri wakati yaliyopo ni mazima.Magufuli komesha tabia hii kuepeuka matumizi yasiyo ya lazima. Waziri asiyetaka kutumia gari la zamani ampishe mwingine mwenye uzalendo. Kuna tetesi mawaziri huogopa kutumia magari waliyoyakuta kwa imani za kishirikina. Kwamba waliotangulia walienda nayo Bagamoyo nk.Tabia hii ife kabisa. Tena Magufuli aweke "wanted" kabisa hakuna kununua gari mpya ndani ya miaka miwili.
 
Prof Muhongo yule anafaa sana , andiko lako naliona kama linampigia debe January Makamba , mtu asiye na uwezo wowote na hao uliowataja n threat kwake , kumbuka huyu n Magufuli sio Kikwete hana ushikaji

Mkuu ungesona mpaka mwisho, nimesema makamba kwa sasa awekwe kando kutokana na kundi lililo nyuma yake, anawaza madaraka makubwa mnoo
 
Nape
mtwigulu
Makamba
Kigwangala
Mbunge wa ilemela
Muhongo
Mwakyembe
Mteue na agrey mwanri
Jerry slaa
Jenister muhagama
Simbachawene

Haya ni baadhi ya majembe ya ccm
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…