Vihela vitaonekaje wakati hatufanyi bali deal?Wakati kila mmoja analalamika kuwa raisi hasikilizi ushauri mie nakupeni nondo kidogo hujue kuwa mheshimiwa raisi anasikiliza na kusoma dondoo mbalimbali ili mradi tuondokane na umaskini.
[*]Ila baba hakika tunapigika ipasavyo tunaomba utulegezee angalau vihela vionekane mheshimiwa.
Ndy maana tunataka katiba mpya..kwa ajili ya mambo kama hayo..ya MBELEKOYeye sio katika kundi la watumishi wa umma bali kundi la wateule wa rais.
Ndy maana tunataka katiba mpya..kwa ajili ya mambo kama hayo..ya MBELEKO
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi Nafikiri kikao changu na Mh kisingemalizika Salama na ningeishia lock up.
Mimi Nafikiri kikao changu na Mh kisingemalizika Salama na ningeishia lock up.