Ushauri huo lazima angeukataa hapo hapo kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji lakini maji yakiwa machafu sana ng'ombe hawezi kuyanywa, mfano maji yenye vyeti vya Daud Bashite yananuka sana nani atayanywa?Mi ningemshauri akaze tu uzi sisi tupo pamoja nae. Aache kusikiliza kelele za chura. Malengo na madhumuni yake sisi tumeyaelewa na tunamuunga mkono kwa 289.5%.Selikari iendelee kupanga na kubuni miradi mbali mbali kama alivyoanza. Pia ningemshauri wabunge wote wanaacha kueleza matatizo ya wananchi wao na kushabikia hoja zisizo na msingi majimbo yao yasipewe miradi yoyote ya maendeleo kwani sio kipaumbele chao
pia ungemshauri aache kununua ndege kwa cash ili kuepusha Madalali akina GSM na bashite kuwa na viburi kwa pesa za 10% ununuzi wa ndege, pia ungemshauri awafutie kesi wale wote waliobambikiwa kesi na bashite ikiwa ni blackmail apate Rushwa na mali haramu na magari.Hakika ningemshauri awe mcha Mungu kweli kweli na siyo mwigizaji
Pia ningemshauri awe anasiiliza washauri wake wanasemaje au wanamshaurije na siyo kujifanyia tu mambo bila kusikilizacushauri wa washauri wake maana inasemekana hashauriki mpaka mawaziri wanamuogopa.
Pia ningemshauri aache dharau na kejeli kwa wananchi wake kama vile zile alizotoa Kyle Kagera na kusema hapangiwi cha kufanya wakati anatakiwa Kuwasikiliza wananchi wanasemaje.
Pia ningemshauri baada ya miaka 5 asichukue form ya kugombea maana inaonekana kiti cha urais hakiwezi na nchi imemshinda kuiendesha.
Pia ningemshauri ajiweke mbali na elements za udikiteta maana hali hiyo inaleta chuki kati ya serikali yake na wananchi wake
Pa ningemshauri amtumbue DAUD ALBERT BASHITE maana anamharibia sifa na anakichafua kiti cha Rais.
NB:JPM UWE MSIKIVU KWA WANANCHI WAKO,
Aongeze ukali wa kukumbatia wenye vyeti feki? au aongeze ukali wa kuhamia Dodoma? Ukali umwendee waziri mkuu kwa kulindanganya Taifa kuwa anahamia Dodoma mapema lakini kutwa yupo Dsm anadunda.Aongeze ukali naona alionao hautoshi kabisa kwa watanzania waliojaa viburi na kejeli
Ikiwezekana tuwe kama Korea ya Kaskazini
kabla ya kujiuzulu arejeshe pesa za maafa kagera pia pesa za kujenga uwanja wa ndege chato zikajenge viwanja vya ndege iringa, singida, mara, Bukoba na Lindi.Mie ningemshauri ajiuzulu tu hana sifa hata moja ya kuongoza Tanzania na upo ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha kwamba uongozi wa nchi umemshinda hivyo arudi chato akachunge ndege.
jitahidi ukutane nae umchabe live juu ya vyeti vya Daud bashite pia umwambie kuwa mbona hakuna jipya? Wizi ufisadi bado upo pale pale kama serikali zilizopita kutokana na mkuguzi mkuu wa hesabu za serikali kuibua madudu mengi kama ilivyokuwa huko nyuma.Sitaki kukutana nae
Asonge mbele na vyeti vya Bashite?Akaze buti na asonge mbele.
Ndugu yangu hebu eleza. Kama wewe ungepata nafasi ya kukutana na Rais John Pombe Magufuli na mkakaa na kupiga story ungemshauri nini.
Tungeishia wote central Mkuu.Mie ningemshauri ajiuzulu tu hana sifa hata moja ya kuongoza Tanzania na upo ushahidi chungu nzima wa kuthibitisha kwamba uongozi wa nchi umemshinda hivyo arudi chato akachunge ndege.
ningemwambia tu kuwa, itafika 2020 aonyeshe alichokifanya, ataonyesha tu hostel udsm na vitu vingine ambavyo vilianzishwa na kikwete. nitamwambia pia kuwa wananchi wanamsubiri aje apige kampeni tena kuomba kura ili na wao wamuumize moyo kama anavyowaumiza yeye sasaivi.Ndugu yangu hebu eleza. Kama wewe ungepata nafasi ya kukutana na Rais John Pombe Magufuli na mkakaa na kupiga story ungemshauri nini.
Hata mm ningemwambia mkuu hakuna anayekukubari wanaokufurahia ni wanao subiri uwateueMimi Nafikiri kikao changu na Mh kisingemalizika Salama na ningeishia lock up.