Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Scotland Yard wako vizuri kwenye upelelezi kuliko hata FBI, tutumaini kuwa raisi wetu atatumia ukuu wake kuwaleta hawa wafanye upelelezi tukio la Lissu
 
Kwangu mimi kiongozi hata angefanya nini, kama ni katili hafai.

Kiongozi ni lazima awe na sifa nzuri mchanganyiko. Ni afadhali binadamu aishi katika umaskini lakini maisha yake yawe salama. Awamu hii limekuwa jambo la kawaida kusikia maiti zimekutwa kwenye viroba. Hawa watu wanauawa na nani? Mbona vyombo vya usalama havitoi taarifa za kina na zenye mantiki kuhusiana na miili hiyo?

Mimi nadhani tupo kwenye tope, tumenasa. Wasio na akili wanadhani tunakimbia lakini ukweli ni kuwa tumenasa. Hakuna chochote kilicho muhimu kwa binadamu yeyote kama uhai wake. Nchini mwetu inaonekana uhai unaana kukosa thamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnaomshauri magufuli vibaya, sasa wewe huoni kwamba upumbavu unaosema ndo unawapa wazungu "entry strategy"?

Stupid Ccm Hippocrates
 

Good to have you back here Kiranga.

The sacking of Mafuru was quite unfortunate - the same goes for Mwele Malecela. What I am surprised by the leadership style of the top man is that that has not ruffled the wrong way people like Mahiga or other technically abled personnel in the administration. It seems non possess both the intestinal and testicular fortitude to resign.
 

Ndio kaka. Usijali sina nia mbaya na raisi. Nilichokuwa nataka kusema ni kuwa,sisi ni binadamu. Hakuna anayejua kesho.
Magufuli anafanya kazi kwa uzalendo na kujitolea. Sikatai but leo na kesho hayupo au tuseme amemaliz uraisi wake je Tanzania itaendelea kuwa na uzalendo ba ari aliyoijenga?

Na ndio mana namshauri awashirkishe wapinzani na wananchi wote. Hio kazi hawezi kufanya mwenyewe.
Yeyw alisema hata wezi wako CCM na wengine wanatamani aondoke hata kesho waendelee kula nchi.
Lazima atufundishe how to fish a fish,not feeding us fish.

samani nimeandika na simu.
 


Na mimi bila kupepesa vidole ninavyotumia ku type
Tuna wapinzani wenye midomo, wapenda sifa na waliokosa uzalendo

 
Thibitisha taarifa walizotoa kwa hao wanyonyaji..acha kuropoka Hamna wakukusifia hum.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nadhani kila hoja ukitaka ifanikiwe uwe na fact au mifano halisi kama mtoa mada alivyotoa mifano inayoonekana, na ww pia jitahidi kueleza walitoa siri gani? Kwa mzungu yupi? Na lini ? Na imeripotiwa wapi na serikali ilichukua hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani anapokela magufuli ndo hapo tu kujidai yy ndo rais bora kuwai tokea, mara tumuunge mkono raisi khaa sasa tulishakuunga kwene kura, sasa si upige kazi zako kimyakimya mbna marais wote waliopita amna aliekua anatafuta uungwaji mkono baada ya kupewa kura, aliendelea kupiga kazi tu wananchi tutayaona tu matokeo sio kila siku eti tumuunge mkono raisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Na mimi bila kupepesa vidole ninavyotumia ku type
Tuna wapinzani wenye midomo, wapenda sifa na waliokosa uzalendo

Tokea uhuru mpo nyinyi madarakani na mmeruhusu madini yote kuchukuliwa,kwako wewe huo ndio uzalendo?mbona mna akili za kishetani nyie.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…