Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ila tufanyeje mkuu bado wachanga
 
Mimi sina chama ujue
Na maendeleo hayana Chama ,tatizo ni pale mawazo yanaposukumwa kudhani mpaka niwe upande flani ndiyo maendeleo yaje,na hili viongozi wetu wanalinadi sana,kitu ambacho siyo kizuri katika mfumo wa vyama vingi.

Ila kwa Mazingira ya uwekezaji wa Viwanda hapa kwetu kwa sasa tumeyaharibu wenyewe.
 
Hao wawekezaji walioenda South Africa walikuwa wanataka kuwekeza nini?
 
Ingefaa uwape Hao mabalozi pingu za kuwafunga na kamba kwa ajili ya kuwakokota Hao waweqekezaji, vinginevyo hivi hivi hawaji.
 
Mawazo ya kujirahisisha kama mtu unaye jiuza.

Una nini cha kumvutia mtu awekeze kwako.
Badala ya kufikiria wewe mwenyewe kuwekeza unasubiri uwekezwe halafu ndo ufaidike!
Mijitu mingine bana!
 
Kwa kuwa Rais Magufuli amesikika akisema hakujua kuwa uongozi ni mzigo mzito hivi, na kwa kuwa amesikika akijuta kuuvaa mzigo huu wa kuchosha, na kwa kuwa kaomba tumuombee, namuombea Mungu ampumzishe na kupa mwangaza wa milele kwenye utawala wake ili aweze kuongoza kwa mafanikio Makubwa.

Ee Mungu muwezeshe mhe JPM kuwa na amani na furaha tele ili aweze kutimiza kazi hii nzito.

Mjalie hekima, busara na ushupavu mwingi, bariki kila alifanyalo.

Naam, mwanga wa milele umwangazie ee Bwana Mhe Rais wetu Mpendwa.

Tunakupenda Mhe Rais na hatutaacha kukuombea ili nchi hii iende mbele daima.
Amen.
 
Ombi lako limefeli huyo hataki ushauri alishasema yeye ni kiongozi wa malaika (cheo kizito) yeye ni jiwe yeye harogeki kwa hiyo hajaribiwi yeye ni chizi anaweza kupiga mashangazi wa wabaya wake yeye haijàli Tanzania anajali Mwanza kwani ni waliompa kula.nahene lolo safari hii tunakubwaga moaka utashangaa ni ikibidi hiyo CCM yako rutaipoteza kanda hii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…