Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali si alikuwa anatafuta ligi? Ligi huwa lazima mshindi apatikane.
 
Jeshi na serikali kwa ujumla walienda kutuliza ghasia huko KIBITI.. ila kuwafahamu waliomfata Lissu ndani ya Majengo ya serikali wachukuliwe hatua imeshindakana .
Unabwata hapa kijingaX2 Popoma wewe.
Siku ukipewa taarifa kuwa waliomshughulikia Lissu ni jamaa wa karibu nae, nadhani utafuta kauli yako hiyo ya hapo juu.
 
Kuna mdau ametoa thread kwa title ya "lucifer effect" itakuwa inahusika hapa, yaani kila mtu anajua ni watu wamehusika kumpiga risasi lisu na matukio mengine ya aina hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukipewa taarifa kuwa waliomshughhia Lissu ni jamaa wa karibu nae, nadhani utafuta kauli yako hiyo ya hapo juu.
Ingependeza sana kama utawataja hao ambao serikali yako na dola wameshindwa kuwakamata kwa kosa hilo!
Na ukiona vyema peleka taarifa zako kwa polisi kuliko kujichetua humu! Kwa maana nyingine serikali inawaogopa wahusika basi na iite dhaifu itapendeza!
 
Too Sadi...ndo madhara ya udikteta haya mkuu....kwenye nchi ya kidemokrasia inayojali haki za binadamu na utawala wa sheria huwezi kusikia madudu km haya....only in tz....
Huyu anayetengeneza chuki nchini na kuharibu nchi yetu nzuri ni nani hasa? Anamuogopa Mungu?
 
Kwa hy ukitukana viongoz ndo unafutiwa mshahara Kwa sheria ipi
 
Shauri sasa nini kifanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna nyumba za ibada zinaruhusu watu hawa kuingia na kupakwa majivu !
Mkuu wanaruhusu hata wanaotamka wazi wazi kuwa wanataka wengine waishi kama mashetani. Maana yake ni kuwa kuwepo na mashetaani weeengi, ili mabaya yaongezeke na roho za watu ziangamie.
 
Lindugai ni kibaraka tu lakini jiwe ndo lenyew na hvi lilimpeleka kigaigai sijui ndo anasaidiana naye kutenda uovu ambao hata lucifer anawashangaa
 
Sema umeshindwa kumuelewa, mimi najua fika ile ilikua ni zuga tu.
 
Hili la Lissu linamtesa sana Bashite kila kukicha haachi kuhudhuria nyumba za ibada na kuwekewa mikono na wachungaji. Kitu cha msingi ni kutubu na kuachana na hayo mafindofindo kabisa. Kuombewa bila kutubu ni sawa kujipaka mafuta bila kuoga!
 
Kama noma na iwe noma!!! Acha iwe doa kwani Magufuli anaingiaje hapo???

Kuna malalamiko kila siku kwamba serikali inaingilia masuala ya bunge na mahakama!! Leo unatak Rais afanye nn??? Kama watu wanaimani hizo basi hakuna wa kubadilisha hata ingekuwaje!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi wa dini tunaomba muingilie ili suala linalifedhehesha taifa letu na kuifanya serikali ionekane katili mbele ya wananchi. Kaeni faragha yamalizeni kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu jambo lake mnaliona dogo lakini likakuzwa likawa kansa inayokutumaliza taratibu. Hata kama mtu alikuwa hana hisia yeyote dhidi ya waliomjeruhi kwa risasi wanaweza kujenga hisia hizo ambazo zitakuwa sana karibu na ukweli.
 
Nimependa hili neno,ni Mungu yupi mnaemuabudu,
Lkn pia ungesema ninyi viongozi wa dini mnaojidai kuwasifia na kuwaombea hao unaowauliza ni Mungu yupi wanaemuabudu mko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hacheni kuleta sasa za Maji taka Karne hii,Lissu alipigwa Risasi na watu wasiojulikana na mpka leo kweli hawajulikani,mana hatujui kwa nn alipigwa risasi,na kwa kulimaliza hili Mh.Rais hausiki nalo.....swala la kuhusu matibabu mkuu hili lilishafafanuliwa na mh.Spika wa Bunge Job ndugai....kuwa kuna utaratibu wa aina Mbili za matibabu ambayo ni private na public....wao walichagua private kwa vile mgonjwa alikuwa mahututi....ila bado ata walipomfiksha hosptalini hawakutaka fata sheria na utaratibu wa matibabu kwa njia ya public wakaendelea kuishia private....gharama zilipowashinda wakaamua kuibuka na haya unayoyasema ww..... So tulia msituchafulie Amani yetu.
 
utasikia michango yote lazima ipate kibali cha dc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…