Tutateua sana...
Tutatengua sana...
Mwishowe tutaona wote hawafai.
Suluhisho ni kuwa na Taasisi Imara na siyo Mtu Imara.
Na hii itapatikana kupitia KATIBA MPYA. Serikali iliyo madarakani pia inahitaji katiba mpya, tukiendelea na katiba hii, tutateua sana, tutatengua sana lakini good achievement nduhu.
Tutateua sana...
Tutatengua sana...
Mwishowe tutaona wote hawafai.
Suluhisho ni kuwa na Taasisi Imara na siyo Mtu Imara.
Na hii itapatikana kupitia KATIBA MPYA. Serikali iliyo madarakani pia inahitaji katiba mpya, tukiendelea na katiba hii, tutateua sana, tutatengua sana lakini good achievement nduhu.
Natamani USA wainyoshe Tanzania na viongozi wake km Libya ili heshima iwepo kwani katiba imesiginwa mno na awamu hi ya tano kwa maslahi binafsi...hebu ona ufisadi sugu huu wa 2.4trillion.Kwa mfano wako jiulize Ghadafi yuko wapi? Sudan vipi, Tunisia hakuna mtu asiyependa freedom na ujamaa umsshidwa tayari toka 1984 Nyerere alipoondoka
Sio wagonjwa wote wanauwezo wa kutembea. Waliona uwezo wa kutembea watapanda ngazi. Wasio na uwezo wa kupanda ngazi watabebwa. Wakishatibiwa na kupona watatelemka kama watu wazima. Unajifanya mjuaji?Mheshimiwa; anzisha sanduku la maoni ili wasaidizi wako wakuambie (anonymously) ya moyoni bila uoga. Unakumbuka lile jengo uliloagiza liwe wodi ya wagonjwa pale Muhimbili badala ya kuwa kituo cha watafiti - na watafiti wakahamishiwa wizara ya afya?
Well; wasaidizi wako waliogopa na bado wanaogopa kukuambia yafuatayo:
1. Hilo jengo halikuwa designed ili liwe wodi; kwa mantiki hiyo haiwezekani kuwapandisha wagonjwa ghorofani kwa kuwa hakuna lifts zilizokuwa designed kwa kazi hiyo.
2. Hilo jengo sasa hivi halitumiki ipasavyo (kwa sababu namba 1 hapo juu).
Wasaidizi wako wanakuogopa mno; weka sanduku la maoni uone utakachoambiwa. Na usiache kupitia hapa JF mara kwa mara kupata ushauri.
Nakutakia siku njema.
Sio wagonjwa wote wanauwezo wa kutembea. Waliona uwezo wa kutembea watapanda ngazi. Wasio na uwezo wa kupanda ngazi watabebwa. Wakishatibiwa na kupona watatelemka kama watu wazima. Unajifanya mjuaji?