Nimefurahishwa na hatua ya Rais ya kuunda Tume ya Kutathmini na kushauri kuhusu masuala ya kodi,yaani" Presidential Commission on Tax Reforms" nchini. Ninayo maoni na ushauri wa jumla kama ifuatavyo:
1. Jamii Forums itumike kuratibu maoni na ushauri mbalimbali unaotolewa na wana JF kuhusu uboreshaji wa kodi nchini.
2. Ninayo maoni kuwa ni wakati mwafaka sasa sheria ifanyiwe maboresho kutoka kwenye maudhui ya udhibiti "control" na " administration" kwenda kwenye maudhui ya kimenejimenti na usimamizi. Tax administration kuwa tax management ili kuwa na mifumo na kanuni zenye kulenga kwenye matokeo badala ya kujikita kwenye mchakato, udhibiti na utoaji wa adhabu kwa asilimia kubwa. Mengine ninaachie wenzangu waendelee.