Maoni ya Baba wa Taifa kuhusu nguvu ya vijana katika kujenga taifa lao

briophyta plantae

Senior Member
Joined
Feb 18, 2017
Posts
117
Reaction score
132
MANENO YA MWALIMU NYERERE
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa; vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa.”-

Mwalimu JK Nyerere

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…