Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,819 Reaction score 4,263 Jan 11, 2013 #21 Haraka haraka haina baraka
M MpiganajiWetu Senior Member Joined Dec 20, 2012 Posts 107 Reaction score 20 Jan 12, 2013 #22 Asante kwa kuitambua Tanganyika maana wenzetu pamoja na kuwa ktk muungano, wao wana kila kitu kinachowatambua kama nchi yaani rais, katiba,bunge,wimbo nk. Sisi Tanganyika haieleweki tulipo.
Asante kwa kuitambua Tanganyika maana wenzetu pamoja na kuwa ktk muungano, wao wana kila kitu kinachowatambua kama nchi yaani rais, katiba,bunge,wimbo nk. Sisi Tanganyika haieleweki tulipo.