Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwani ukisema tu kwamba wewe ni DEMU wa simba utapungukiwa nini ?Mimi ni Simba damu
Kwani kuna ubaya gani mudi akituonesha b20 ziliko?. Kumbuka simba ni timu ya wananchi kwa 51% hivyo wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi...
Mimi ni Simba damu
Kwani kuna ubaya gani mudi akituonesha b20 ziliko?. Kumbuka simba ni timu ya wananchi kwa 51% hivyo wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumiz...
Mbona matusi Tena wajameni, kwani si mumjibu kistaarabu tu Hela zimefanya Moja mbili tatuKwani ukisema tu kwamba wewe ni DEMU wa simba utapungukiwa nini ?
Kwa nini alitutangazia umma wakati anajua hazituhusu?Hizo hela za kwako???
Kwani ule mpunga wa 51% umewekwa hadi ulize matuminzi ya 49%?Mimi ni Simba damu
Kwani kuna ubaya gani mudi akituonesha b20 ziliko?. Kumbuka simba ni timu ya wananchi kwa 51% hivyo wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi.
Ninashangaa kwa nini mudi kila siku anaongea janja janja badala ya kusema b20 zimetumika kufanyia mambo kadhaa kisha ayaorodheshe au aseme ziko benki a/c flani.
Akifanya hivyo hatutahoji chochote
Kwani hawakaguliwi mkuu kumbe Mo aliweka mezani b20 za makaratasi na magenius wa Simba akina GENTAMYCINE wakitoa toa macho kushangaa uzuri wa Barbs GonzaMimi ni Simba damu
Kwani kuna ubaya gani mudi akituonesha b20 ziliko?. Kumbuka simba ni timu ya wananchi kwa 51% hivyo wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi.
Ninashangaa kwa nini mudi kila siku anaongea janja janja badala ya kusema b20 zimetumika kufanyia mambo kadhaa kisha ayaorodheshe au aseme ziko benki a/c flani.
Akifanya hivyo hatutahoji chochote
Jamani si mjibu hoja zake tuu!!mbona mapovu tena
malalamiko yako ungepeleka FCC manaa walipitisha mchakato kumbe wametapeliwa siyo?Mimi ni Simba damu
Kwani kuna ubaya gani mudi akituonesha b20 ziliko?. Kumbuka simba ni timu ya wananchi kwa 51% hivyo wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi.
Ninashangaa kwa nini mudi kila siku anaongea janja janja badala ya kusema b20 zimetumika kufanyia mambo kadhaa kisha ayaorodheshe au aseme ziko benki a/c flani.
Akifanya hivyo hatutahoji chochote
hoja zake hazijibiki jamaa ni genius sana , tunajiandaa kwenda kumpigia magoti atusajilie na kutusaidia kufadhili teamJamani si mjibu hoja zake tuu!!mbona mapovu tena
Ulivyoanza kujitambulisha tu tumejua wewe ni uto pro.Mimi ni Simba damu
Kwani kuna ubaya gani mudi akituonesha b20 ziliko?. Kumbuka simba ni timu ya wananchi kwa 51% hivyo wananchi wanahaki ya kujua mapato na matumizi.
Ninashangaa kwa nini mudi kila siku anaongea janja janja badala ya kusema b20 zimetumika kufanyia mambo kadhaa kisha ayaorodheshe au aseme ziko benki a/c flani.
Akifanya hivyo hatutahoji chochote
Hivi kwanini watu wa usangi ni wavivu sana? Nijibu hoja yangu usilete mapovuJamani si mjibu hoja zake tuu!!mbona mapovu tena
Pesa tumefanya usajili miaka mitano, tumelipa mishahara na bonus kwa miaka mitano, tumefanya fitina za nje ya uwanja ili kuwezesha timu yetu kupata mafanikio iliyoyapata kwa miaka mitano, in short Mo and company anawadai Simba SC maana nyie wenye 51% mchango wenu Ni almost equal to zero. Kama nadanganya nendeni lolote muone Kama mtamushinda Mo boss kubwa.Mbona matusi Tena wajameni, kwani si mumjibu kistaarabu tu Hela zimefanya Moja mbili tatu
Wewe ukitaka kutukanwa matusi ya kila aina, ulizia tu matumizi ya hizo bilioni 20 za mwekezaji!Mbona matusi Tena wajameni, kwani si mumjibu kistaarabu tu Hela zimefanya Moja mbili tatu