Elections 2010 Maoni ya Joel Kimbisa juu ya Dr. W. Slaa


Jazba
Hayo ni matusi kwa watu neutral kama sisi,independent ambao hatukubaliani na either side of the aisle.I wonder wht he gonna do...may be to swallow his words..atapogundua kuwa he is in the NARC/PNU

Majukwaani wanadai tumechoshwa na miaka 50 ya CCM ambayo haikusaidia na kitu na badala yake kumdumaza Mtz......bila kukumbuka kuwa Mwl J.K Nyerere alishawahi kuwa mwenyekiti ndani ya miaka hiyo 50 of CCM failure....kwa hiyo kama CCM failed means Nyerere failed....but still munatufanya tuamini Dr.Slaa ni second after Mwalim katika kulihami taifa...HOW?In which SENSE?

Personally nimechoshwa completely na serikali ya CCM..na solution ipo wazi...kuing'oa madarakani,but am afraid kwamba tunatumia jazba na kukurupuka.

Bado na doubt wisdom ya wapinzani...to me it's but just politics.Nachoka zaidi ninapoona CHADEMA wanatetea kumweka VP mbumbu.....honestly hii ni CHAI.
 
huu ujumbe babu kubwa na ni ukweli mtupu
 

Maono ya nyerere juu ya nchi hii yalikuwa tofauti na ccm ya leo.
 
Sasa kwa mawazao gani wewe unatoa ushauri gani? Inaelekea unajenga hoja yako kwa kuanza kupinga sera za Nyerere. Tunaomba mchango wako.
 
Sasa kwa mawazao gani wewe unatoa ushauri gani? Inaelekea unajenga hoja yako kwa kuanza kupinga sera za Nyerere. Tunaomba mchango wako.

Mchango wangu ni kwamba, ukileta kitu hapa kiwe kimefanyiwa utafiti na kina data accurate, otherwise kitasemwa kwamba ni utani na propaganda. Kama unataka upinzani nenda kwenye mizizi ya mambo, including Nyerere.

Huwezi kusema unataka kuwapa watu fulani elimu ya bure bila kujali haja zao wakati hata huyo Nyerere mwenyewe champion wa UPE alikuja kusema kashindwa kutetea elimu ya bure bila kuangalia haja kwa sababu Tanzania sasa ina mamilionea.
 
mpaka sasa chadema wanaongoza kwa kura nyingi sana hata kura za maoni za hapa jf wanaongoza kwa 85% wakifuatiwa kwa mbali kabisa na jk 13% kwa maana nyingine watu wamesha wapigia kura ni kazi yao kuzilinda..............INAKUWAJE MNAONGOZA TANGU MWANZO NA UKIENDA MITAANI HAKUNA ANAYEIPENDA CCM ZAIDI YA NDUGU WA MAFISADI LAKINI KWENYE KUHESABU KURA HAZITOSHI..............
JAMANI SISI WENGINE TUPO TAYARI KUTUMIKA ILI KULINDA KURA HATA MOJA ISIPOTEE..MIMI NADHANI HUU NDIYO WAKATI MWAFAKA AND IT IS OUR GOLDEN CHANCE...............MAKAMBA WA CCM ANAKWAMBIA CCM WOTE WANATOA NA KUPOKEA RUSHWA ISIPOKUWA WANAZIDIANA VIWANGO TU NA ANAYEZIDIWA NDIYE ANAKIMBILIA KULALAMIKA''''HAYA NI MANENO YA KIONGOZI WA JUU WA CHAMA KILICHOPANGA IKULU TANGU UHURU.................
"TIME THE TIME BEFORE TIME TIMES YOU"....ITS TIME FOR CHANGE.
 
JF uwanja wa propaganda za chadema!! Mitazamo neutral inakua vigumu watu kuiona sasa...
 

Tutajie mafisadi waliolindwa na kukingiwa kifua wakati wa Nyerere!
 
Data zako ambazo zinatetea hoja zako ziko wapi? Kwa mfano elimu ya bure inawezekana au haiwezekani? Kutoa hoja ni kuanzisha mjadala ambao unatakiwa uwe na mahala pake pindi utakapohitajiwa. Kitu cha maana ni kumuuliza utaitoaje hiyo elimu bure? Au tutajengaje uwanja wa kimataifa Kigoma, au tutapelekaje meli Mbeya nk. nk.
 
JF uwanja wa propaganda za chadema!! Mitazamo neutral inakua vigumu watu kuiona sasa...
Utashangaa ukiuliza na kuambiwa wanachama wa Chadema ni wachache sana humu. Suala sio chama hapa, bali ni mambo muhimu yanayowagusa Watanzania na Chadema inaonekana kuwa ndio wanaotetea wananchi. CCM ingefanya hivyo, Chadema hawangekuwa na mengi ya kuongea!
 

Unataka kutoa elimu ya bure bila kuangalia need katika nchi ambayo ina watu wenye uwezo wa kujilipia gharama za elimu, hii akili?

Sikatai kuna watu wanahitaji kusaidiwa, na wasaidiwe, lakini msaada uwe need based.Katika system kama hii wanayotaka kuleta CHADEMA inawezekana kabisa watoto wa vigogo walioiba mamilioni ya dola kutoka serikalini wakalipiwa gharama za elimu na serikali hiyo hiyo ilhali watoto wa masikini wasio na uwezo wakashindwa kupata msaada.

This is fundamentally wrong. Nenda kamsikilize Nyerere, champion wa kusomesha watu bure alivyo denounce hii habari ya kusomesha watu bure bila kuangalia need kwenye hotuba ya Mei Mosi 1995 Mbeya. It is interesting kwamba CHADEMA wanamuonyesha deference Nyerere, lakini hawawezi kumsikiliza aliposema jambo lenye the barest of common sense.
 
Tutajie mafisadi waliolindwa na kukingiwa kifua wakati wa Nyerere!

Namba moja ni John Momose Cheyo, Mzee kafisadi viwanda vya nguo kanda ya ziwa akawa anazungushwa tu, anatolewa hapa anapelekwa kule, practically mashirika ya umma karibu yote hayakuwa na accountability, watu wanakula hapa wanahamishwa pale, kuanzia kina Cheyo mpaka kina Nyakyoma wa GAPEX, mpaka kina Kapinga kuanzia Dabco mpaka SUKITA, muulize FMES ana personal recollections za hawa watu na ushenzi wao, name any industry and you will find examples like these.

Nyakyoma ilikuwa ukimuandama Ikulu inakuita na kukutishia, kisa Mzanaki/ Mkurya na wanafanya shughuli za frat boys pamoja na Butiku na kina Nimrod Mkono, the so called "untouchables". Nyerere anaangalia upuuzi huu unaendelea.

Leo unataka kuniambia Nyerere hakukingia vifua mafisadi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…