hii inaonekana kuwa nzuri sana mkuu na ni bora iingie kabisa kwenye katiba ili isijetokea huko mbele Katibu mkuu wa chama anai rule out.
Fikiria kma yule waziri aliyesema tanganyika iliungana na zimbabwe ungelikuwepo mdahalo unadhani angepita????
Kipanya alichora katuni nzuri na ukiangalia mapendekezo mengi ni sawa na wale wanaopendekeza kuwa "katiba iwe na kurasa za rangi pamoja na picha" kwa maana hii ya sasa ya B/W imepitwa na wakati kiuchapishaji badala ya kuangali core ideas kama hii ya kwako