Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
"Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
kuna watu watakasirika kuskia ukweli dah 🐒"Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu ni mmoja ya wanufaika wa huu mfumo dhalimu wa Ma CCM. Ni kama wasira tu anavyoudanganya na kuuhadaa umma."Kwa mfumo wowote ule (upinzani) hawataweza kuing'oa @CCM madarakani, kwa sababu kila chama kinataka kupata ruzuku, ukitaka kuiondoa CCM madarakani inabidi uanze harakati za kufika hata maeneo ambayo hamjawahi kuyafikia, lazima muwe na ajenda," - Haya ni maoni binafsi ya Mohamed Kudeka
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025