The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Aug 30, 2023 #21 ram said: Bado linafanyiwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji617] Click to expand... TFF wamelirusha Hilo ombi lifanyiwe marekebisho. Wameshauri wacheze dakika 240
ram said: Bado linafanyiwa kazi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji617] Click to expand... TFF wamelirusha Hilo ombi lifanyiwe marekebisho. Wameshauri wacheze dakika 240
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 11,541 Reaction score 23,999 Aug 30, 2023 #22 viongozi wa Yanga walikuwa wamejifungia ndani kuumiza kichwa kusajili na kudraft namna ya kufika fainali CAF, simba walikuwa bize uturuki, uwanja wa ndege kuvizia kuiba wachezaji, kuchezesha kamari na kuzunguka na kibegi.
viongozi wa Yanga walikuwa wamejifungia ndani kuumiza kichwa kusajili na kudraft namna ya kufika fainali CAF, simba walikuwa bize uturuki, uwanja wa ndege kuvizia kuiba wachezaji, kuchezesha kamari na kuzunguka na kibegi.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Aug 30, 2023 #23 King Kong III said: Simba Bora ilikuwa enzi ya Kichuya pale kweli lilikuwa pira mayonaizi sasa hivi mudi analeta ubahili haweki mzigo anaokoteza wachezaji waliochoka. Click to expand... Toka pira biriani mpaka pira KICHURI.
King Kong III said: Simba Bora ilikuwa enzi ya Kichuya pale kweli lilikuwa pira mayonaizi sasa hivi mudi analeta ubahili haweki mzigo anaokoteza wachezaji waliochoka. Click to expand... Toka pira biriani mpaka pira KICHURI.