Maoni ya Wachezaji kuhusiana na Sakata la Feisal: Abdi Banda afunguka

Maoni ya Wachezaji kuhusiana na Sakata la Feisal: Abdi Banda afunguka

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Kuhusiana na sakata la Feisal linaloendelea hivi sasa, wadau wengi wamekua wakitamani wachezaji watoe maoni yao. Abdi Banda amekua ni mchezaji wa kwanza kufunguka kuhusiana na sakati hilo.

Abdi ameweka wazi maoni yake kwamba Feisal anapotoshwa ma watu walio nyuma yako na hivyo wanamharibia.

Katika mahojiano hayo Abdi Nanda ameeleza mengi kwa kina.

Msikilize zaidi;
 
Huyo Banda alitaka Feisal aweke marinda yake rehani, angekuwa yeye Abdul angemkubalia Engineer kutekeleza usodoma wake?
 
Back
Top Bottom