Kuhusiana na sakata la Feisal linaloendelea hivi sasa, wadau wengi wamekua wakitamani wachezaji watoe maoni yao. Abdi Banda amekua ni mchezaji wa kwanza kufunguka kuhusiana na sakati hilo.
Abdi ameweka wazi maoni yake kwamba Feisal anapotoshwa ma watu walio nyuma yako na hivyo wanamharibia.
Katika mahojiano hayo Abdi Nanda ameeleza mengi kwa kina.