Maoni ya wajumbe 'walio wachache' katika Kamati namba Nne iliyowasilishwa na Mhe. Tundu Lissu!

hivi ni nani alikuja na idea ya JINA Tanzania?
 
Nauchukia muungano japo naipenda ccm. Tuwaache wazanzibari waende zao
 
msimamo huwa
unabadilika ndio maana TL
kasema aliyezoea kuishi
kwa uongo ukweli hauwezi,
na aliyezoe vya kungonga
vya kuchinja hawezi.
dr mwakyembe alisema
ukweli ule ili atimize
malengo yake na
yapotimia akarudi kwenye
hulka yake ya uongo!
ccm oyee
 
John Okelo "the Field Marshal" ukweli haufichiki ila huwa unatabia ya kuwahi kufikana. Na huyo ndio atabaki kua baba yao wa taifa, hata wabinuke vipi na kuruka sarakasi zote.
 
Licha ya kuwa Tanganyika inaitawala Zanzibar kwa kutumia ukoloni mambo leo,bado Wazanzibari wana haki ya kuidai nchi yao,maana Tanzania inaiwakilisha Tanganyika kwa kutumia style ya kijanja,mfano nembo ya Taifa,Watumishi wa Umma,ukitaka kuthibitisha hilo mkuu,tangia uzaliwe umeshawahi kumuona Raisi yoyote wa Tanzania akitokea Zanzibar?.
jibu bado,wakati raisi wa Tanzania ndie anaewakilisha Zanzibar na Tanganyika,kuhusu Kunyimwa ardi na kuwa na ajira za masharti kama wageni,huo ni uchochezi tu,hakuna ushahihidi,wabongo wangapi huku wanamiliki ardhi,ninae rafikiyangu anatokea Tanganyika,anakiwanja Zanzibar,amejenga napia ameoa Mzanzibari,ukitaka ushahidi kama unazo cash za kutosha,panda boti nenda Zanzibar tafuta ardhi ununue kama utakataliwa.

 
Selikali yaccm naukabaila wake hapa wamejizalilisha sana kwakitendo walichofanya na tbc niaibu sana wamezoeya kuishi kwauongo hawata takawauone ukweli ukiwafikia watanzania
 
Prof. Shivji kanyukwa kwa maandiko yake mwenyewe.
vichwa vya walio wengi ni kama makopo matupu, yasiyo na kazi lakini yapo tayari kwa kazi ya kujazwa vinyesi na mikojo.
Katika mizani ya hoja na uzawa, walio wachache wanawaelemea walio wengi kwa mlinganisho wa scania yenye semi Vs Bajaji.
ni mapafu ya mbwa Vs ya panya.
kwa hizi nondo alizoshusha Tundu Lisu, nahisi milango ya bunge 'imejifunga' na 'umeme umekata', watu hawaonani wala hawaoni pa kutokea. Nina uhakika Shivji atapelekwa Dodoma kwa ambulance ili akatoe first aid kwa 'walio wengi'.
Bahati mbaya ni kama ataenda na bandeji na plasta ili akafunge vidonda vya tumbo.
 

Every person has a price lakini sikutarajia bei ya Shivji ni ndogo kiasi hicho...
 
He, kumbe eti hati za makubaliano ya Muungano hazipo popote?

Kweli UKAWA ni kiboko yao! na Mh TUNDU LISSU ni kiboko yao!
 
Haya mambo yanahitaji umakini sana...Raisi akijifanya yeye ndio mwenye mawazo ya watanzania wote atakuja kutuletea majanga zaidi ya haya maafuriko tunayoyaona
 
Inawezekanaje watu tena wasomi kua na dhana kwamba eti kila alichosema ama alichofanya Mwl Nyerere eti ni sahihi na wala hakina makosa....kwamfano angalieni mfumo wa elimu Mwalimu aliouanzisha kwamba watu waliofanya vibaya[waliofeli] shuleni eti ndio wanapelekwa kwenye course za ualimu wakafundishe wenzao..lakini bila woga na aibu Serikali ya CCM tena iliyojaa wasomi wapuuzi mpaka leo wanaona hayo maamuzi ya Mwalimu Nyerere ni sahihi na wanamuenzi kwa hilo
 
Mimi huwa namwogopa sana mtu anayeshindwa kutetea matakwa ya nafsi yake kwa kuogopa kuwaudhi wakuu! Mwakyembe ni bonge la mnafiki! Sasa hivi anajifanya kutetea serikali mbili wakati nafsi yake inataka serikali tatu!? Hapo mimi ndipo ninaposhindwa kabisa kuwaamini wanasiasa kama wana nia ya dhati kuiendeleza nchi hii.
 
Tizameni pumba hizi jamaa anauliza "ukitaka kuthibitisha hilo mkuu,tangia uzaliwe umeshawahi kumuona Raisi yoyote wa Tanzania akitokea Zanzibar?." mimi sina la kumjibu ila ajipangie mwenyewe kuanzia Nyerere hadi Kikwete. pili nimesema na wabunge wa wa katiba wameliongelea na katiba ya Zanzibar inasema kuwa ardhi ni mali ya Mzanzibar haijataja Tanganyika,katiba hiyohiyo ya Zanzibar inasema watakaonufaika na rasilimali za zanzibar ni Wazanzibar sio Watanzania (kwa maana ya Watanganyika) sasa kama katiba inasema hivyo unaelewa maana ya katiba? hivi unajua Jussa ambaye leo amezungumza amewahi kuhoji ndani ya baraza la wawakilishi kwa nini wale ambao si wazanzibar (kumbuka hapa si Mtanzania kwa maana Mtanganyika) wanamiliki ardhi Zanzibar kinyume na katiba ya nchi? na kama wanamiliki kihalali kwa nini hawalipi Dola 5000 kwa mwaka (sawa na karibu Tsh mil 8? mamabo hayo unayajua. Nenda kachambe huko tunataka Tanganyika yetu na kama kuna muungano hata wa serikali mia tujue Watanganyika watafaidika nini huko Zanzibar na kama hakuna iwe basi,maana nina hakika Wazanzibar hawakubali kubadilisha katiba yao kwa sasa, hivyo ni bora kila mtu kivyakevyake. KAMA WAZANZIBAR WENYEWE WANATAKA NCHI YAO WAPEWE CCM IACHE KUWANG,ANG,ANIA.
 
Mkuu utakuwa umerogwa!
ushauri wangu kwako,wahi kwa Mganga fasta,kabla hujaokota makopo,na kukata viuno ovyo pale Kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…