Maoni ya Wakenya Twitter juu ya picha ya Kenyatta akifanya mazoezi ya Kung Fu

101 East

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Posts
1,057
Reaction score
2,221
Nimeikuta huko Twitter wakenya wakibeza picha ya rais UHURU KENYATA akifanya mazoezi ya kung fu huku wakihusisha tabia na madeni yaliyopo ya nchi yao kutokana na serikali ya rais huyo

Picha [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚jirani nao kumbe fyatu kama Wabongo 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kenyans are a humorous people that appreciate humor. Ingekuwa kwa Magufuli saa hii kuna watu wangekuwa jela na wengine mortuary.
 
Sio kwamba wanapenda kumtania,hapana...! wakenya wengi hawampendi Uhuru ila tu wanashindwa wafanyaje sasa🀣🀣🀣🀣🀣🀣. eti master kuomba art
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…