Maoni ya watanzania wengi kabla ya kupata katiba mpya ni haya, utafiti makini kabisa

Maoni ya watanzania wengi kabla ya kupata katiba mpya ni haya, utafiti makini kabisa

Elineema J Mosi

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2013
Posts
808
Reaction score
148
EHEE mWENYENZI Mungu tunaomba sikia kiliyo chetu. Wasio makini watabisha tu maana wao hawajitambui.
 
Attachments

  • 1380517_427130587399051_2058225610_n.jpg
    1380517_427130587399051_2058225610_n.jpg
    31.6 KB · Views: 134
wengi wa zanzibar wanataka ni lazima serikali yao iwepo na itambulike ndani ya muungano,sasa sisi wa bara tukisema serikali yetu iwepo na itambulike ndani ya muungano kosa letu ni nini? ukiwauliza viongozi wa ccm hawana jibu.namuomba mwenye jibu anijibu ili na mimi nione umuhimu wa kutodai Tanganyika
 
Tanganyika kwa sasa haiepukiki, zanzibar ilishakuwa huru muda mrefu!
 
wengi wa zanzibar wanataka ni lazima serikali yao iwepo na itambulike ndani ya muungano,sasa sisi wa bara tukisema serikali yetu iwepo na itambulike ndani ya muungano kosa letu ni nini? ukiwauliza viongozi wa ccm hawana jibu.namuomba mwenye jibu anijibu ili na mimi nione umuhimu wa kutodai Tanganyika

Swali zuri. Ila pia kuna wazanzibar wasiotaka serekali ya ya tanganyika na wanaishi Tanganyika.
 
Muungano usivunjike sawa lakin "we need our tanganyika back" serikal tatu ndo habar kamili. mzee warioba huwa simwamini sana ila jana katoa kitu live mpaka mburula wasioitakia nchi mema wamemkubali.
 
Tanganyika ilishakufaga siku nyingi! Tanzania ndo imebaki kwa sababu ya nchi ya Zanzibar! Chunguza kisha nambie.
 
Back
Top Bottom