Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
wengi wa zanzibar wanataka ni lazima serikali yao iwepo na itambulike ndani ya muungano,sasa sisi wa bara tukisema serikali yetu iwepo na itambulike ndani ya muungano kosa letu ni nini? ukiwauliza viongozi wa ccm hawana jibu.namuomba mwenye jibu anijibu ili na mimi nione umuhimu wa kutodai Tanganyika