Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Diamond: Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe kwa sababu anaamini wewe ni Shujaa na Imara.....pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu.... hivyo Usisononeke, Make him Proud!!!
-------
Paul Makonda: There is a room in every situation. Stay strong, Dady is coming!
-------
Dr. Cheni: Linapokukuta jambo wapo wakaokuonea huruma na wapo watakaokuwa na furaha ila niwakumbushe jambo akuna ajuwaye kesho yake kubwa kila mapito mwambie Mungu Asante.
--------
Edo Kumwembe: May God bless her....Shit happens sometimes
-------
Absalom Kibanda: The attempted murderers who mean't to kill Lissu, Kibanda, Ulimboka & Kubenea are walking scot free when Elizabeth Michael 'Lulu', a victim of unfortunate coincidence is jailed for manslaughter
------
Rose Ndauka: Hakika kilichotokea tarehe 7 april 2012 kiliaffect sana na kinaendelea kuaffect tasnia ya filamu Tanzania, kilichotokea kimetuachia somo kubwa sana kama vijana. Pole sana @elizabethmichaelofficial Mungu yupo nawe, tunakuombea
------
Aunty Ezekiel: Nakosa lakusema...Amin ni Jaribu kama yalivyo Mengine...Hili nalo litapita
-----
Wema Sepetu: Dah... Speechless... Pole my baby... This too shall pass... Dah...
------
Riyama: Halimfiki jambo mja Pasi na Allah kulipitisha mitihani Humfika BINADAMU na sio mnyama na hakika Mola ana makusudi yake pengine Kuna kubwa zaidi alilokuepusha nalo kwa muda huo utakao kuwa huko kubwa IMANI NA huu ni wakati sahihi wa kuwa karibu na MUNGU wako kwa kumwambia Asante na ujenge tumaini kubwa kuwa MUDA UTAFIKA na wakati wa MUNGU NI WAKATI SAHIHI kuliko nyakati zote ulizo wahi kuzipitia na Elimu unayo enda kujifunga ni kubwa sana naamini UTAFAULI MAA POLE SANA.
---------
Shamsa Ford: Changamoto ameumbiwa binadamu. kila kitu kitapita inshaallah. NAKUPENDA mdogo wangu
--------
Kajala: Hapa duniani mwanadamu anapita katika mazingira mbali mbali cha muhimu ni kumuweka Mungu mbele ili akupe afya njema katika haya maisha magumu. Sala iwe chakula chako cha kila siku. Usimuache Mungu wako. Tuko pamoja katika kuomba. Usinung'unike mshukuru kwa kile kilichitokea.
--------
Steve Nyerere: KILA NIKITAKA KUONGEA NASKIA SAUTI INASEMA NYAMAZA UKUBWA JIWE, POLE MDOGO WANGU , POLE FAMILY , POLE MASHABIKI WOTE, MAANA AMNA NAMNA CHA MUHIMU NI KUKUOMBEA AFYA NJEMA , MUNGU ASIMAME NA WEWE PAMOJA NA FAMILY YAKO, NAJUA UNAPITA KWENYE KIPINDI KIGUMU SANA KWA MARA YA 2, ILA KILA JAMBO LINA PANGWA NA MUNGU , POLE LULU DOOOOOOOOO
Batuli: Lulu Ni Wetu Sote Na Marehemu Kanumba Alikuwa Wetu Sote, Mwenyezi Mungu Ashushe Faraja Kwa Lulu, Ndugu, Jamaa Na Marafiki
Yatapita Cha Msingi Ni Kuwa Na Mwenzetu Bega Kwa Bega Katika Kipindi Hiki Kigumu Cha Mpito, Mwenyezi Mungu Aweke Misamaha Katika Mioyo Yetu Pole Mdogo Wng @elizabethmichaelofficial Hakika Yatapita