Maoni ya watu maarufu baada ya hukumu ya Lulu

Dady is coming anajifurahisha tu,hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama...labda sasa na yeye akamset baba yake kule Magogoni ndo kdg panaweza kueleweka....japo nayo ni ngumu.
 
😀😀Wanamwita Bashite and his team!!.. Dad is coming!!!

in shot huyu jamaa anaitia aibu serekalina taasisi nzima ya magogoni.amekuwa kama ukiwaona dito....Anatakiwa afundishwe juu ya nyadhifayake namipaka aliyo nayo.
 
Cjaona ya majizo au kamfaliji kimya kimya chumbani...
 
Dady is coming anajifurahisha tu,hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama...labda sasa na yeye akamset baba yake kule Magogoni ndo kdg panaweza kueleweka....japo nayo ni ngumu.
Sasa akiungana na baba ake itashindikana nn? Au ndo no one above the law
 
Hili nalo litapita

Ila kwa kifungo hicho anaweza fanya mpango awe katika kifungo cha nje chini ya community service and probation Act No 6 of 2004
 
Rose Ndauka Ndio ametoa ujumbe wa kueleweka..... wengine wote wamejaa unafiki tu.!
 
Daah..! Alivyomtamu lulu watafaidi wajelajela....atarudi bikra
 
Inasikitisha lakini hainiumi kwa lolote kama ilivyoniuma Kanumba kufariki tena kwa ishu ya kijinga namna ile.

Wanawake ni watu hatari sana, kuna mdau aliweka uzi humu akaupa title; mwanamke anapoamua kuchepuka anakua mtu hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…