[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeee nan kasema "dady is going"Duh aisee so anakosa dyudyu for 2yrs[emoji1495]
Kwa mara ya kwanza ww mtu umekuw kero kwa comment zako dhidi ya kufungwa kwa haka kabintiWaache unaafiki
Wakati akihojiwa na mikasi TV kama nakumbukumbu nzuri alisema anamiaka 19.Huyo dogo lulu alikuwa na miaka mingapi wakat huo ?
Kama alitudanganya kwamba hawana mahusiano, sidhan kama atashindwa kudanganya miaka yakeWakati akihojiwa na mikasi TV kama nakumbukumbu nzuri alisema anamiaka 19.
Daddy is coming......Kiki hizo
Ndio si alitudanganya kwa faida yake. Hivyo kila mtu kapokea sawa na ujira wake.Kama alitudanganya kwamba hawana mahusiano, sidhan kama atashindwa kudanganya miaka yake
Mmmmmmm kale katoto, Au?Kama alitudanganya kwamba hawana mahusiano, sidhan kama atashindwa kudanganya miaka yake
Usishtuke Mkuu! Ukienda upande wa pili wa Muungano hapo pahala alipopelekwa Lulu, huitwa kwa Jina la Chuo Cha Mafunzo.Waaat...!!!
Kama vipi mpeleke mwanao mkuu...!!! Sio rahisi kama unavyofikiria aisee..!!
Sasa bahati mbaya zaidi nipo upande wa kwanza wa muungano.Usishtuke Mkuu! Ukienda upande wa pili wa Muungano hapo pahala alipopelekwa Lulu, huitwa kwa Jina la Chuo Cha Mafunzo.
Ila wasanii wa Kibongo bhana, wanakuwa na dharau sana Kwa Mahakama as if ni sehemu ya kuigizia. Mtu una kesi tena serious case lakin utakakuta kajitu kesi inaendelea kenyewe full kuchezea cm na kujiselfisha. Wajifunze kuheshimu ule mhimili, adhabu nyingine wanatandikwa kimyakimya Kwa vijimakosa vya dharau kwa Mahakama bila kujijua.
Ni Rai tu kwa hawa Bongo movie, na hii cyo maramoja, mara kwa mara kama wanashtakiwa hugeuza Mahakama kama sehemu ya kuji show off. Ni vema wawe humble na kujipanga vema kwa ajili ya Kesi zao.
To be honest, adhabu ya Lulu kwa jicho la kisheria ni kama kasamehewa tu. Ukisoma Penal code s. 195 cap 16 inasema adhabu kwa kosa la Manslaughter ni life imprisonment. Na kuna watu wanachezea 20 yrs, 15 yrs, 5yrs nk. Sasa kama kapigwa 2yrs ashukuru Mungu.
2kisema huyu hastahili na ilibidi aachiwe huru tu, ni nani sasa anastahili hyo adhabu? Usupastaa haumfanyi mtu kuwa juu ya Sheria. Kila mtu yuko sawa mbele ya sheria. Rejea ibara ya 13 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.
NB: Matatizo kaumbiwa binadamu bila kujali hadhi yake, umaarufu wake au tabaka lake.
Keep the Law and the Law will keep You.
Mbona yangu ujaweka hapo au Mimi sio maarufu acha ubaguzi weweDiamond: Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe kwa sababu anaamini wewe ni Shujaa na Imara.....pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu.... hivyo Usisononeke, Make him Proud!!!
-------
Paul Makonda: There is a room in every situation. Stay strong, Dady is coming!
-------
Dr. Cheni: Linapokukuta jambo wapo wakaokuonea huruma na wapo watakaokuwa na furaha ila niwakumbushe jambo akuna ajuwaye kesho yake kubwa kila mapito mwambie Mungu Asante.
--------
Edo Kumwembe: May God bless her....Shit happens sometimes
-------
Absalom Kibanda: The attempted murderers who mean't to kill Lissu, Kibanda, Ulimboka & Kubenea are walking scot free when Elizabeth Michael 'Lulu', a victim of unfortunate coincidence is jailed for manslaughter
------
Rose Ndauka: Hakika kilichotokea tarehe 7 april 2012 kiliaffect sana na kinaendelea kuaffect tasnia ya filamu Tanzania, kilichotokea kimetuachia somo kubwa sana kama vijana. Pole sana @elizabethmichaelofficial Mungu yupo nawe, tunakuombea
------
Aunty Ezekiel: Nakosa lakusema...Amin ni Jaribu kama yalivyo Mengine...Hili nalo litapita
-----
Wema Sepetu: Dah... Speechless... Pole my baby... This too shall pass... Dah...
------
Riyama: Halimfiki jambo mja Pasi na Allah kulipitisha mitihani Humfika BINADAMU na sio mnyama na hakika Mola ana makusudi yake pengine Kuna kubwa zaidi alilokuepusha nalo kwa muda huo utakao kuwa huko kubwa IMANI NA huu ni wakati sahihi wa kuwa karibu na MUNGU wako kwa kumwambia Asante na ujenge tumaini kubwa kuwa MUDA UTAFIKA na wakati wa MUNGU NI WAKATI SAHIHI kuliko nyakati zote ulizo wahi kuzipitia na Elimu unayo enda kujifunga ni kubwa sana naamini UTAFAULI MAA POLE SANA.
---------
Shamsa Ford: Changamoto ameumbiwa binadamu. kila kitu kitapita inshaallah. NAKUPENDA mdogo wangu
--------
Kajala: Hapa duniani mwanadamu anapita katika mazingira mbali mbali cha muhimu ni kumuweka Mungu mbele ili akupe afya njema katika haya maisha magumu. Sala iwe chakula chako cha kila siku. Usimuache Mungu wako. Tuko pamoja katika kuomba. Usinung'unike mshukuru kwa kile kilichitokea.
--------
Steve Nyerere: KILA NIKITAKA KUONGEA NASKIA SAUTI INASEMA NYAMAZA UKUBWA JIWE, POLE MDOGO WANGU , POLE FAMILY , POLE MASHABIKI WOTE, MAANA AMNA NAMNA CHA MUHIMU NI KUKUOMBEA AFYA NJEMA , MUNGU ASIMAME NA WEWE PAMOJA NA FAMILY YAKO, NAJUA UNAPITA KWENYE KIPINDI KIGUMU SANA KWA MARA YA 2, ILA KILA JAMBO LINA PANGWA NA MUNGU , POLE LULU DOOOOOOOOO
Batuli: Lulu Ni Wetu Sote Na Marehemu Kanumba Alikuwa Wetu Sote, Mwenyezi Mungu Ashushe Faraja Kwa Lulu, Ndugu, Jamaa Na Marafiki
Yatapita Cha Msingi Ni Kuwa Na Mwenzetu Bega Kwa Bega Katika Kipindi Hiki Kigumu Cha Mpito, Mwenyezi Mungu Aweke Misamaha Katika Mioyo Yetu Pole Mdogo Wng @elizabethmichaelofficial Hakika Yatapita