Maoni yako kuhusu komando Ruby kurekodi anti virus vol 3?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
 
Huyu binti ana tatizo gani na Mawingu!? Aliye na nyeti tafadhali...!??
 
nitanunua
huwa nikinuna nawekaga ant-virus ya sugu
 
Huyo bint sijui nani anamshauri kujitutumua hivyo wenzake wakina maua sama watazidi kujitanua yeye ataendelea kubaki wa mchangani!
 
Kachoka kutumiwa kimwili, kiakili na kufanywa kitega uchumi wakati Bi. Mkubwa wake anakula matembele kijijini. Usuper star wa kupaka poda na kujipiga selfie kutwa nzima huku huna pesa mfukoni umepitwa na wakati. Sanaa ni ajira kama hakuna maslahi tafuta kazi nyingine.
 
Nampongeza Rubby kwa kujikwamua kwa hii mitapeli ya mziki, mnaosema atapotea hao wasanii wa THT ni yupi anayefanya vizuri kimataifa ? wasanii wote wanaotamba saivi hakuna hata mmoja toka clouds, diamond, kiba, weusi, Jux , Vanessa, ben paul, dimpoz , n.k huyo barnaba mbona anaimba sana lakini hatuoni hata akifanya video za maana kimataifa?
 
Hasira alizonazo Rubby kwa clouds si bure lazima kuna jambo, kama si bwana harusi mtarajiwa alilazimisha kumfunua itakuwa namna nyingine.
 
Kuna habari zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba komando Ruby yuko studio anafanya album aliyoipa jina la Antivirus volume 3.
Mdau yapi maoni yako kuhusu hili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et komando ruby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…