KATUMBACHAKO JF-Expert Member Joined Jul 3, 2012 Posts 399 Reaction score 108 Dec 9, 2012 #1 Kushuka kiwango cha Elimu na mazingira mabovu ya Elimu,Je serikali haijui uendeshwaji wa taasisi za elimu au AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA?
Kushuka kiwango cha Elimu na mazingira mabovu ya Elimu,Je serikali haijui uendeshwaji wa taasisi za elimu au AKILI NDOGO kuongoza AKILI KUBWA?
K katalina JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 262 Reaction score 55 Dec 10, 2012 #2 Nadhani mada ingekuwa 'kushuka kiwango cha elimu , tatizo nini' ili kutoa wigo mbana kwa wadau kuchangia kuliko ulivyoiweka wewe ikiambata na 'leading answers'.
Nadhani mada ingekuwa 'kushuka kiwango cha elimu , tatizo nini' ili kutoa wigo mbana kwa wadau kuchangia kuliko ulivyoiweka wewe ikiambata na 'leading answers'.