Maoni yangu binafsi juu ya masuala mbalimbali yanayoendelea duniani

Ndiyo bas tena,wanadamu twaangamia kwa kukosa maarifa
Wanaoangamia ni waafrika(weusi), wana dhahabu, almasi, mafuta,uranium, lakini hawawezi kuysgeuza pesa, ni mpaka aje mzungu!
Wana ardhi kubwa, lakini hawawezi kujilisha, wanaomba msosi kutoka nchi ya ukraine iliyopo vitani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…