Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Khaa, Lumumba FC, hamna huruma!😂, uzi mmeudaka juuu juu!Mimi Chadema nasema kama Mkuu wetu Mbowe amekosa bora wakose wote. Hakuna mkubwa zaidi ya Mbowe ndani ya chama chetu.
Mkuu hapa tunajitaidi kushughulikia swala la wamama kwenda bungeni, mambo ya ukimbizi, tutawaanzishieni uzi mjiachie mpendavyo!Mbowe na yeye anaenda lini ubalozini au atatokea kwenye mpaka wa Kenya kuanzisha episode no 5.
CDM nyumbxxxxx fc aka Kaole sanaa group.
Hajanituma Ester, mkuu! Nimejituma mwenyewe tu, nimetumia haki yangu ya kuwa na mawazo na kutoa maoni!amekutuma Ester umsemee?
mwambie hakuna kwenda.atulizane tuli
Asante mkuu! Upumbavu wangu huu unatokana na maumivu kama uliyo nayo Wewe! Mimi nimetoa maoni tuOndoa upumbavu wako hapa.
Tufanye nini sasa mkuu? Seriously, tufanyeje?Wakafuate nini? Hatuko tayari kuendekeza tumbo huku wafuasi wetu wakiwa wameuliwa, kuachwa na vilema vya maisha. Hii tabia ya kuendekeza faida ya muda mfupi ndio inasababisha watu kuendelea kunajisi chaguzi zetu, na kufanya mauaji kisa wapinzani watakubali kushiriki kwa vyovyote sababu ya pesa.
Mimi sipo nao wale, lakini pia nafikiri ni vyema wanawake mashujaa wakaenda bungeni! Tuwe aangalau watu wa kuzungumza hata kama hawatasikilizwa! Ujue hata tukigoma jamaa wanafanya yao kwa miaka mitano!Waoombeeni wale waliogombea urais kupitia vyama vingine maana wallivyojipendekeza kwa jiwe walijua watapata angalau UDAS, sasa jana jiwe kasema hateui tena nafasi zimejaa. Njoja wote tuisome namba malipo ni hapahapa
Tufanye nini sasa mkuu? Seriously, tufanyeje?
Mimi sipo nao wale, lakini pia nafikiri ni vyema wanawake mashujaa wakaenda bungeni! Tuwe aangalau watu wa kuzungumza hata kama hawatasikilizwa! Ujue hata tukigoma jamaa wanafanya yao kwa miaka mitano!
Kwa jinsi mnavopenda helaa ni lazima muende la mtaendelea kupigana wenyewe kwa wenyewe. by the way tayari Lissu amerudi kwao, maana yeye ndio alikuwa kikwazo. Imeisha hiyoooooooooooooooooooooooKwanza kabisa sikubali mchakato wa Uchaguzi wala matokeo! Ule haukuwa Uchaguzi bali uteuzi
Pamoja na hayo, nashauri chama changu pendwa CHADEMA tumuache mbunge wetu wa Nkasi, Idah, anendeleena ubunge. Pili Halima Mdee, Bulaya, na wanawake wote wa Viti Maalum waende Bungeni, kwa masilai ya taifa na chama pia. Tusikubali kuwaachia CCM Bunge peke yao.
Faida za chama ni kuwa na insiders wetu mle bungeni, ambao watatupenyezea ya kule na watapeleka ya kwetu hata kama yatakataliwa. Pia kuna ile milioni 1 kwa mwezi, Siyo mbaya tukiipokea! Siyo swala la kujali pesa, ni kwamba kiukweli pesa inatakiwa!
Mimi naipenda CHADEMA na napenda mabadiliko, lakini wamama waende kwanza bungeni wakati harakati zingine zina endelea!
Mimi naomba waendelee kuzira tu. Mbona Serikali za Mitaa walizira na matokeo wameyaona kwenye Uchaguzi Mkuu na wako poa tu?Kwanza kabisa sikubali mchakato wa Uchaguzi wala matokeo! Ule haukuwa Uchaguzi bali uteuzi