Uchaguzi 2020 Maoni Yangu: CHADEMA tukubali Wanawake waende Bungeni

Alaumiwe aliewatuma kuingia barabarani.!
 
Hapa inahitajika hekima na busara
 
Unaweza kupata hela na maisha yakasonga bila kuwa mbunge ndani ya bunge lililopatakina kwa kumwaga damu.
Siyo kuhusu pesa tu mkuu! Kuhusu upinzani, way forward ni nini?
 
Sometimes sielewi chadema wana waza nini wange enda tu hao wadada wachague vichwa kama mdee,bulaya, ester matiko, upendo peneza, Catherine luge wakakomae itaonyesha uhai wa chama sioni tija ya kususa
 
Stupid post
 
kuna watu walishajipanga kejeli, mipasho, na masimango 90% wakati mchango wa hoja ni10%
 
Mimi CHADEMA nasema kama Mkuu wetu Mbowe amekosa bora wakose wote. Hakuna mkubwa zaidi ya Mbowe ndani ya chama chetu.
Wewe unataka kuwaua njaa wenzako wakati udenda unawatoka. Hakuna atakae kataa wote wataenda we subiri tu.
 
Mimi CHADEMA nasema kama Mkuu wetu Mbowe amekosa bora wakose wote. Hakuna mkubwa zaidi ya Mbowe ndani ya chama chetu.
Bufa acha mzaha,kwenda bungeni siyo habari ya ukubwa ni habari ya uhai wa chama, mara nyingi mbowe hatumii hekima, mnyika lzm asimamie chama la sivyo kitamfia mkononi. wkt wa uchaguzi wa viongozi wa vijiji chadema walisusa simply kwa sababu wao walikuwa hawahusiki lkn wameingia kwenye uchaguzi wa wabunge kwani ndiko uliko ulaji wao bila mabadiliko yoyote kwenye katiba ya Nchi au kanuni za uchaguzi ili angalau waendelee kupata mishahara na posho za ubunge wamekosa ishakuwa ishu wanaona wakose wote ameshahau aliye shinda aliinvest kwenye uchaguzi anastahili malipo hata wale waliopata nafasi za viti maalum waachiwe ili kupata wawakilishi watakao wakilisha hoja za chama.hekima itumike isiwe kama walivyo wafukuza kina lwakatare jambo lililokiumiza sana chama.
 
kuna watu walishajipanga kejeli, mipasho, na masimango 90% wakati mchango wa hoja ni10%
Na mimi nimeamua kuwavumilia, lakini nimetoa tu maoni yangu, hata kama hayatakubalika!
 
Walitakiwa watulie tu wakiwekewa viongozi na tume ya ubaguzi, Tiss, na jeshi la polisi?
Sasa pamoja na hayo waliyofanya,Kuna lolote lililobadilika? Kama sivyo bora kipi, kupigania ugali wa wanaume wenzio huku Ukibaki na kilema cha maisha bila msaada wowote kutoka kwa uliokuwa unawapigania, au kukaa kando ukawaachia vita yao?
 
BUNGE Lililowekwa kwa mtutu wa Bunduki na mauwaji ya watu ?? Hivi unafurahia damu kumwagwa na vikosi vya ulinzi na majeshi ya Burundi ili kulazimisha CCM ishinde na kuwaweka hawa wabunge ??
 
Kule Zanzibar waliachiwa miaka 5 na hakuna walichokifanya cha maana zaidi ya kuzidi kuipeleka nchi nyuma. Na waendelee tu kukaa kwenye viti vilivyojaa damu na waendelee kula haramu .
 
Kama jeshi na vyombo vya usalama viliwezesha CCM kushinda basi vitu Mike kuunda viti maalum.
 
BUNGE Lililowekwa kwa mtutu wa Bunduki na mauwaji ya watu ?? Hivi unafurahia damu kumwagwa na vikosi vya ulinzi na majeshi ya Burundi ili kulazimisha CCM ishinde na kuwaweka hawa wabunge ??
Hapana sifurahii hata kidogo! Hata ingewezekana na mimi ningeondoka kabisa kwenye hii nchi inayoyotiririka damu! Lakini hata kama utambi unafuka moshi tu, tusiuzime bali tutafute mafuta, ili angalau uwepo mwanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…