Maoni yangu katiba mpya(nyerere day iwe kama karume day)

Maoni yangu katiba mpya(nyerere day iwe kama karume day)

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Tumeshuhudia kuwa karume day ni siku ya viongozi wakuu kuvaa kanzu kufanya dua na kuwaalika viongozi wa madhehebu mengine kufanya ibada kama waalikwa.
Napendekeza Nyerere day ifanyike ibada ya misa nyumbani kwa nyerere.alafu tuwaalike viongozi wa dini wengine kama waalikwa waje wasome ibada zao baada ya sisi kumaliza yetu. iwe ni siku ya kubeba biblia mkononi na kuvaa rozali.
 
wenzetu wanafanya hivyo, utashangaa wengine kunifikiria kama mdini, lakini hawashangai public figure(politician) kumbukumbu yake kufanyiwa hitma tu na sio muda wa kusikiliza nasaa zake na wosia hasa unaohusu utaifa
 
Back
Top Bottom