maoni yangu katiba mpya

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
824
Reaction score
161
Nakubaliana na muundo wa muungano wa serikali tatu,kama ilivyo ainishwa kwenye rasimu ya katiba mpya lakini naomba jina la serikali ya Tanganyika na siyo serikali ya Tanzania bara na jina la serikali ya mapinduzi ya zanzibar libaki kama ilivyo hiki ni kifungu cha 57 (1).
Pia napendekeza kifungu 69( k)kifutwe "kuidhinisha utekerazaji wa adhabu ya kifo iliyotolewa kwa mjibu wa sheria za inchi"kifungu hiki kinakiuka haki ya binadamu ya kuishi. kipinga na na kifungu cha 23 " kila mtu anayo haki ya kuishi na kupata hifadhi ya maisha yake kutoka katika serikali na jamii kwa mujibu wa sheria " napendekeza katiba mpya itamke wazi kuondoa adhabu ya kifo. naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…