This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Pablo wala Hana tatizo, Ni kocha mzuri.
SIMBA inahitaji usajili wa maana, wengi wametumika sana na wamechoka.
Wala tusimwangushie Pablo jumba bovu.
Pablo apewe kocha msaidizi wa viwango.
Gomez arudishwe ktk benchi la ufundi km msaidizi.
Halafu huwezi kushinda ww tu kila siku. Kuna na kipindi cha mpito pia. Tulichukua mara nne mfululizo, unadhani wengine walikuwa hawaumii kuukosaeubingwa? Hebu vuta picha ya msimu uliopita jinsi Utopolo walivyoukosa ubingwa dakika za lala salama.
Cha msingi usajili wa nguvu ufanyike. Huo ndiyo ushauri wangu.
Kwanza kabla hujamlaumu kocha lazima ujiridhishe ikiwa km nafasi za kufunga zinatengenezwa, na km wachezaji hawafungi unataka Pablo/kocha aingie akacheze. Hii Ina maana kwamba kuna ubora unakosekana ktk timu yetu.
SIMBA 💪