Maoni yangu kuhusu Sakata la DP World kama mtu niliyewahi kufanya kazi kwenye Bandari ya Dar es Salaam

Ah kumbe ulikuwa kibarua tu...
 
Umeongea Ila hujasema hata zuri moja kweli. Umekuwa biased mno na kuwa tpa Ni mbovu. Siwezi amini mind yako,
Kuna watu wapo zaidi ya miaka 40 wewe mitano tu Ila umeona mabaya tu,toa na mazuri usiwe biased
 
Lakini kamwaga madini yote haya. Ndo ujue Serikali inafanya maamuzi sahihi kwa sababu pale Bandarini tunaibiwa sana na watanzania wenzetu
Unaweza kukuta hata bandarini hujawahi kufika
 

Attachments

  • IMG-20230820-WA0044.jpg
    79 KB · Views: 2
Unaweza kukuta hata bandarini hujawahi kufika
Kwanza shule ya mwisho kitaifa inakosaga mwanafunzi bora?

Tanesco walishika no 2, NIDA no 3 mbona ndo zinalalamikiwa sana humu? Au hilo hukuliona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…