Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sitaki kuwapotezea muda, naingia moja kwa moja kwenye mada .
1. Tamisemi isijihusishe na lolote kwenye uchaguzi, hii ni kwa sababu ndani ya Tamisemi wamejaa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM
Miongoni mwa waliomo Tamisemi yumo Dr Mahera, huyu ni mtuhumiwa pili wa Kuvuruga Uchaguzi wa 2020, mtuhumiwa wa kwanza ni Dr Magufuli.
2. Ma DED si tu kwamba wasiruhusiwe kusimamia Uchaguzi, bali hawa hawatakiwi hata kukanyaga kwenye eneo la kituo cha kupigia kura, hawa ni Wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na ni makada wa kufa na kuzikana wa ccm, Yaliyotendwa na Kagurumujuli hadi kuuawa kwa Akwilina hatujasahau.
Kwa vile tumeamua kuunda upya eneo hili ili kuondoa wizi wa kura, Upendeleo na mauaji basi eneo hili ambalo ni adui wa Taifa lisijihusishe wala kuhusishwa na Usimamizi wa Uchaguzi wowote ule.
ITAENDELEA .......