Dawa ya hii ni kuwa na wabunge binafsi... ambao tutakuwa na uhakika hawatadhibitiwa na chama Chao ila wawe wanazingatia maslahi ya wananchi.Mbunge anaetetea serikali bungeni anakuwa amejivua ubunge! hakuna urafiki wa bunge na executive kwenye mambo ya wananchi.
Sahihi kabisaNa pia ongezea hapo...
1. Uwizi wa kura, au kuharibu uchaguzi au matokeo ya uchaguzi iwe ni kosa la uhaini. Hii ni kwa sababu kuharibu uchanguzi ni sawa na kuweka uongozi usio halal kwenye nchi ambalo ni sawa na uhaini kabisa.