Maoni yangu: Wanaume wenye vipara wako vizuri kitandani

Vipara na vinyweleo vingi mwilini ni ishara ya uwepo wa kiwango kikubwa cha testosterone mwilini hormone ya kiume.

Kwahiyo wewe kuvutiwa na mwanaume mwenye upara na ndevu nyingi ni natural phenomena ya kibaiolojia na ni kawaida sana.
 
Hayana muongozo hayo

Sikuwahi kuwa na mwenye kipara lakini hawa wenye nywele nyingi zile za kufuga nyingi zileee [emoji119]

Mbinguni wana mahali pao pema
Kosea sasa ukutane na wenye vipara halafu wanafuga ndevu kama Osama bin laden au kama Yesu, utajua haujui.
 
Hivi tutakaa tupate katiba mpya kweli?
 
Sisi warefu weusi soko letu limeyumba tayari,tuanze kunyoa upara tu sas hivi
 
Hayana muongozo hayo

Sikuwahi kuwa na mwenye kipara lakini hawa wenye nywele nyingi zile za kufuga nyingi zileee [emoji119]

Mbinguni wana mahali pao pema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaaa!!! Ila Jo bhana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamekugonga wangapi wenye vipara....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…