Maoni yatolewayo na wanasiasa wajulikanao hapa JF yalindwe vipi?


Kuna sehemu kwenye hii mada Mkuu Invisible alieleza yafuatayo


Mkuu Invisible......je tunaweza kusema in short maandishi ya hapa JF yako "Copyright Protected?"....au unachozungumza hapo juu ni tofauti?
 
Kumbuka kuwa forum siyo press conference; hivyo siyo mahali ambapo mchangiaji anatoa maoni ambayo yana-reflect msimamo wake rasmi wa kuweka kwenye headlines. .

- Great Thinking, by a Great Thinker. Anyways I am out of this I mean for really!

Respect.


FMEs!
 

- Great Thinking, by a Great Thinker. Anyways I am out of this cool aid, I mean for really!

Respect.


FMEs!
Mbona unaturudisha tuliko toka mzee wangu; unataka kusema kuwa hukuiona hii hapa chini au unatafuta ushindi wa aina fulani. Sikukuambia hivi jana nawe ukakubaliana nami kwa kuweka tick yako pale?



Ni kweli nilisema vibaya na nikafanya marekebisho, lakini sasa wewe unataka kurudi tena hapo hapo; unatafuta nini. Huoni unanirudisha kwenye jambo hilo hilo ninaloongelea la kuchukua post moja na kuifanyia headline gazetini bila ya kuangalia discussion yote kwa jumla?

Mzee FMEs, inaelekea kuwa nilikuwa sijakuekewa sawasawa. Ingawa huwa ninafurahia sana kusoma posts zako unapokuwa unaripoti matukio ya straight line (1-D) kama vile maamuzi ya vikao vya kisiasa, matamshi na matendo ya watu mbalimbali kulingana na data zako. Hata hivyo, nakiri kuwa sijawahi kukufuatilia jinsi unavyoshiriki kwenye mijadala ya multiple dimensions (n-D) na kuunganisha mawazo ya watu mbalimbali wanaotofautiana na ya kwako. Kwenye mjadala huu, dimension yako pekee ilikuwa ni kuhusu Zito, ukasahau dimensions nyingine kubwa ya kulinda posts zisitumiwe vibaya magazetini. Nimeona ulivyokubaliana na wachangiaji wote walioonyesha kukubaliana na wewe kuhusu Zito hata kama walikuwa na misimamo inayopishana kabisa kuhusu namna ya kulinda posts za forum zisitumiwe magazetini kiholelea.
 

- Nimekupata mkuu, tuendelee kukata ishus, taifa liko pabaya mkuu!

Respect.


FMEs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…