Habari wanaJF, nimeanzisha website ya mambo ya afya ambayo nipo wa mtaaalam wa mambo ya afya kwaajiri ya articles . Karibuni sana kwenye website hii kwa maoni zaidi. Nipo bado kwenye development...
Nawakilisha asanteen sana karibu tujifunze mambo ya afya.
Sijafurahia kabisa!!!!!
1. Lugha ya Kiingereza
2. Yaliyomo hayana tofauti na tunayosma Yahoo, BBC, ... Naona ni kama copy and paste.
3. Sio interactive platform. Hakuna sehemu rafiki ya kujisajili. Labda kwa wanaotumia PC..