brave Mwafrika JF-Expert Member Joined May 2, 2019 Posts 247 Reaction score 135 Jun 28, 2023 #1 Habari za uzima ndugu zangu, Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma??? Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti na mwenye diploma???
Habari za uzima ndugu zangu, Naomba kuuliza kuna kozi za afya ambazo ukiwa na degreee sio rahisi sana kupata kazi tofauti na mtu mwenye diploma??? Au ni rahisi kupata kazi ukiwa na degree tofauti na mwenye diploma???