MSIMBAZI CENTRE, ILALA. Pale watokao Pande za tegeta, bunju na kawe wataungana na wale wa mwenge kuja MSIMBAZI CENTRE kirahisi kabisa kupitia Kawawa Road. Wale wa Kinyelezi, Segerea na Tabata wataungana na wa Buguruni kupitia Uhuru Road. Wale wa Pugu, G'Mboto, banana, kipawa na tazara watakuja kwa nyerere road na uhuru road. Wa mbagala, kijichi, mtoni, kurasini na tandika watakuja kupitia kilwa road hadi ilala. Wale wa Posta na kariakoo watatumia uhuru road. Wale wa Upanga, Oysterbay, sea view na masaki hao watakuja tu kivyao kwa vile wao mara nyingi hutumia private cars wala usihofu alafu ndo wachangiaji wazuri. Wa Mbezi, kimara na ubungo watatumia barabara ya mandera na uhuru faster. Wa magomeni, manzese na kigogo wao huwa hawaji kwenye vikao hata ungefanyia kwenye anga zao ila ni wazamiaji wazuri kwenye harusi, achana nao!