sportstore
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 497
- 1,769
Kwenye Maombi ya kitaifa Dodoma alisema yafuatayo:
NDANI YA MIAKA MITATU
Hatma ya mataifa mbalimbali itaamuliwa na vitu vikubwa vitatu na hivi vitu vitatu vitafaya kazi pamoja.
1. Siasa
2. Uchumi (kwenye eneo la soko pekee)
3. Mahusiano ya nchi moja na nchi nyingine
Halafu hivi vitu vitatu Vitaendeshwa na ROHO (NGUVU ZA MUNGU AU GIZA) watakaojibidisha kiroho (kuomba) ndio wataofanikiwa.
Pia alionyeshwa nchi kadhaa zikipita mahali si vizuri KIMAAMUZI
Aligusia mfano wa farao na yusufu kama suluhisho maana watahitajika watu wenye HEKIMA, AKILI NA WENYE HALI ZA KIROHO (wenye uwezo wa kumsikia Mungu anasema nini Kwa mataifa Yao).
Mwisho utatokea Uamsho wa kanisa mkubwa na unakuja ambapo watu wengi watamtafuta Mungu Sana na ukiambatana na toba.
WENYE KUUNGANISHA DOT KAZI KWENU.