Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani iwe kwenu wana MUNGU
Leo nikiwa katika tafakari usiku wa manane
Niliona watu wakiwa uwanjani kukiwa na washangiliaji wengi sana huku team mbili zikicheza moja ilikuwa na jezi nyekundu na moja jezi ya kijani kama majani mabichi kabisa
Wakati mpira huo ukaendelea nilimuona mchezaji mmoja wa aliye vaa jezi ya kijani akianguka Kisha kuamka
Lakin badae mchezaji wa jezi nyekundu alianguka pia naye na hakuamka tena, nikaona ambulance ikaja na kumchukua Kisha uwanja mzima ukajaa huzuni na watu wakaanza kumuombea kwa MUNGU
Huenda alipoteza maisha maana watu walijitaidi sana kufanya usaidizi lakin hakuamka
Akapelekwa hospitali
Ni maono tu ndugu yangu ambayo mimi nimeyaona, basi tumuombe MUNGU atusaidie
Na maono siyo lazima yatokee leo au kesho ila yatatokea asanten sana
AMINA
SAYUNI BOY