Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Haaahaaa!
Leo nimepata hisia za uandishi fikirishi. Nawaza ifikapo mwaka kesho 2020 ndani ya chama kikongwe na kikubwa Tanzania cha siasa ambacho ni chama Mama CCM nahisi kutakuwa na damu mpya au watu wapya kabisa kwa CCM kugombea hususani nafasi za ubunge zaidi na mbali yake nafasi za udiwani.
1. Ubunge itakuwa nahisi zaidi ya asilimia 90% wapya kabisa na wasomi kiukwelikweli walio na historia safi huko nyuma.
2. Udiwani itakuwa kama 75% wapya ndio wapya kabisa utake usitake ndivyo ninavyohisi. Haahaa cha ajabu watakuwa watu wasomi sana na huko pia na asilimia kubwa nahisi watakuwa vijana.
3. Viongozi waliopo sasa wajitafakari na wachukue hatua mapema kabisa kimwili na kiakili nawaambia hamtaamini macho yenu kabisa ila ndivyo ninavyohisi itakavyokuwa.
N.B
UCHAGUZI 2020 UTAKUWA UCHAGUZI WENYE USHINDANI MKUBWA SANA KWA VYAMA VYOTE NDANI NA NJE YAANI ZAIDI YA 2015 ILIVYOKUWA.
Mbarikiwe.