mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Hayaa ni maono niliyoshushiwa Mimi mwehu, katika njozi na wenye mamlaka ya DUNIA kuhusu mchezo wa tarehe 8 march 2025, baina ya Yanga sc dhidi ya Simba sc. Nami kwa unyenyekevu mkubwa nayaleta kwenu enyi wakuu!!
Katika maono haya, wachezaji wa bwanyenye Mo dewj, wanaonekana ni wenye hofu kuu kabla ya mchezo kuanza , huku kijasho chembamba kikionekana usoni mwa kipa wao pipi ya kimara , hii ni mara TU ! alipokitazama kigimbi cha maestro Aziz ki kinavyowaka futa la nazi
Maono haya makuu
,yananionyesha nakumsikia refa Arajiga akimwambia kwa ukali kocha wa Simba sc "Leo mmeyakanyaga, mkishinda niite choko mzee, Niko nimekaa palee👉".Hali iliyosababisha kuibuka kwa sauti kuu za vilio na simanzi katika benchi la mbumbumbu.
Maono yaliendelea na sasa nikasikia sauti kuu ya filimbi kuashiria mchezo kuanza , lakini ghafla nikawaona wachezaji watatu wa Yanga sc nao ni pacome , mzize, na Aziz ki, wakiwa wenye furaha kubwa ,na sura zao zenye nuru.
Ndipo nakasikia sauti kwa mara nyingine ila mara hii ni wenye mamlaka ya dunia ikisema" Nifuraha iliyoje kwa utatu huu teule , kuwashinda na kuwaangamiza makolo wenye hila na chuki ".
baada ya sauti hiyo kukoma, nikasikia sauti nzuri za kushangilia za mashabiki Bora wa Yanga sc ,huku kibao cha matokeo kikisomeka Yanga sc 3-0 Simba sc .