FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT)
1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL.
kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje
2. MADRID UEFA HAITOBEBA MSIMU HUU.
Kwa uchezaji wao wa ubinafisi na wachezaji wenye EGE sioni wakichukua UEFA hapo watu msianze kusema sijui MBAPPE ana gundu hamna team haieleweki kabisa
3. CAF champions AL-AHLY HABEBI.
Uyu msimu huu sioni akifanya vizuri naipa nafasi ESPERENCE au RAJA hao ndiyo tittle contenders
4. SIMBA ATAFUNGWA DERBY ZOTE NA YANGA.
kitu ichi Nina uhakika nacho Simba wachezaji Wana confidence tu ila ni mediocre hawana Cha kutisha Sana watafungwa mechi zote na yanga
5. BACCA ATAKUWA UCHOCHORO CAF.
Uyu beki wa yanga anaesifiwa kuwa beki Bora kusema ukweli anakaba ila utulivu hana ni suala la mda tu atakuwa UCHOCHORO maana hana control zaidi ya nguvu simtofautishi Sana na NINJA
6. MAN CITY KUBEBA KOMBE LOLOTE IMCHUNGE SANA ARSENAL.
kama pep anaitaka EPL au UEFA mpinzani wake ni ARSENAL ampasue wanapokutana au amuombee njaa
7. PAMBA FC ITASHUKA DARAJA %✓
team ya mkoa wangu iliyopanda Kwa mbwembwe Sana ligi kuu na jinsi wasukuma tunavyopenda vya kwetu na mkoa wetu tuwe wapole tu team yetu itarudi ilikotokea Tena mapema tu .
HAYO NI MAMBO NILIYO NA UHAKIKA NAYO